KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,179
Hili ni swali zuri ambalo limekwishapitwa na wakati.Hivi watendaji wa serikali lazima wawe ccm
Ndio. Kwa siku hizi huwezi kumtenganisha mtendaji wa serikali na CCM.
Hili ni swali zuri ambalo limekwishapitwa na wakati.Hivi watendaji wa serikali lazima wawe ccm
Kanga moko, laki sio pesa!! Duh majina ya bar za pombe ya kienyeji ni shida! Sasa andoke na Ruzuku EL alikuwa signatory?Mbowe baada ya kupewa dhamana amekimbilia ofisini kukagua kama Lowasa ameondoka na pesa ya ruzuku .
Unalifahamu deni la Deco art ambalo Mzee Mkono alimpigia panga V.G Chavda?
Sanjeev Kumar ni raia wa India.Huyu Sanjeev Kumar ni raia wa Tanzania?
ajuza mbaguzi. What does Mtei have to do with anything here whatsoever?Mtei vipi, unamkumbuka?
Swali ninalojiuliza, hata kama walipewa hizo pesa kifisadi, kwanini hata wasingewekeza kama walivyokubaliana kwenye kupewa hizo pesa? Kwasababu at least tungenufaika kama Taifa na wananchi wangepata ajira nk. Kuna waliodai ni viwanda vya ngozi nk. Ingekuwa kweli uchumi ungeimarika! Na wangewekeza kwa wakulima pia ingewanufaisha wananchi walio wengi ambao ni wakulima wenye vipaji vidogo ama masikini.
Baada ya zile kelele, JK aliwaambia baadhi yao(hao wa EPA ya pili), kuwa wazirudishe na kwamba wakulima watapewa hizo pesa! Hadi leo hakuna anayejuwa status ya hizo zilizopatikana kwenye hii EPA ya pili. Kumbuka EPA ya kwanza ni hiyo ya miaka ya 90 kabla hawajaanza mpango rasmi wa kuzichota kutoka kwenye akaunti maalum iliyofunguliwa.
Amepewa tenda na serikali hii ya jiwe?Mmoja wapo wa hao patel anajenga barabara ya morogoro ile ya njia 8
Sasa nimegunduwa kwanini mwalimu alikubali vyama vingi. Huu uozo ulianzia wakati mwalimu Nyerere akiwa hai, na ni kuanzia miaka ya mwanzo ya tisini ambapo aliwalazimisha ccm. Kiaina aligunduwa ccm wamegeuka mafisi.Kalamu1, ni kweli wengine tunachombeza tu lakini tupo na tunafuatilia sana ila kuna kitu nakuomba usikisahau, brains behind all this plunder ni Watanzania wenzetu. Majina ya Watanzania hao huwezi kuyakuta katika orodha ama ya wamiliki au ya wenye hisa lakini ni wanufaika wakubwa katika biashara hizi kupitia kivuli cha CCM. Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa rasmi 1992 kama kuna kauli ya viongozi wa CCM ambayo haijabadilika ni hii, CCM itatawala milele! Tuendelee kufuatilia...
Halafu wakihojiwa wanasema siri ya mafanikio kufanya kazi kwa bidii kumbe wezi.Upo sahihi...
Sayona is a part of The Motisun Group, a privately-owned diversified business conglomerate based in Tanzania with various manufacturing companies in building materials such as steel, roofing products, cement, plastic tanks, pipes, paints etc. It is also present in sectors such as real estate, logistics, food and beverages and hospitality. Our geographic reach encompasses southern, central and eastern Africa and have our own manufacturing facilities located at Tanzania, Mozambique, Zambia and Uganda.
Under the able leadership, guidance and vision of Mr. Subhash M. Patel – Group CMD, Motisun Group has become one of the most successful business brands in Africa. The group’s investment in Africa while fostering economic growth and development provides ample employment opportunities to the local youth. To date, Motisun Group directly and indirectly provides employment to over 10,000 people.
UPO ila hawawezi kufanya lolote mpaka wampe taarifa SPONSOR (Rais) ndiye aamue nini kifanyike. Katiba ndivyo inavyoelekeza hata ile sheria iliyounda TISS ya mwaka 1996 kipindi cha Mkapa. Marais wenyewe sasa!!!hahahahaaaaa hapa ndio utajua kwamba tanzania haina idara ya kitengo...........!
lakn pia tujue kwamba hata nyerere alikua na shida nyingi, mojawapo ni kukumbatia wahindi na kuwafukuza wazungu(europeans)!!!
nchi hii ufisadi unaongozwa na hawa tuliotegemea watulindie mali za taifa...... hawa wanaojiita kitengo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh.
kwamba hata thread za hapa JF wamefuta???Hili suala la Bank M limedhihirisha udhaifu mkubwa sana wa serikali ya ccm ambao sidhani kama mtu mmoja anaweza kuufuta zaidi ya usanii tu inapotokea wanagombana wenyewe kwa wenyewe!
Hii benki M pamoja na kuhusiana na ufisadi wa EPA, pia imekuwa “ikibebwa” sana na serikali za ccm. Na hivyo kutumia jasho letu sisi walipa kodi! Hata hizo pesa za ufisadi ziliondolewa huko ndo maana! Na mambo mengi sana yamefanyika ili kuificha hiyo connection toka kipindi kile. Kwa mfano Sasa hivi hao jamaa wanaendelea na ma biashara yao makubwa, lakini ukijaribu kutafuta connection yao na EPA au hata bank M, wamefuta! Hata ile mijadala iliyokuwa ikionyesha hizo connections hadi na Mkapa siioni! Hata habari zilizokuwa zikizungumzia hilo! Thread za Jf za namna hiyo, zimegeuka kuwa pdf files zisizo na kitu. Links zimegeuka “a bridge to nowhere”
Like “poof” they disappeared in thin air!
Ila mwenye share nyingi nahisi uyu Subash Patel.Alaf nadhani inayo wanaisa wengi kiasi ?Sayona nayo naona mikono ya Mit sun ambayo pia ina wanaisa wengi kiasi
Teh teh tehAnaweza akaamua kuweka sumu ktk Sayona alafu akatufungulia dunia
Maendeleo hayana chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui wangapi wanakumbuka wakati Ikulu yetu ilipogeuka na kuwa kama pango la walanguzi, naam waliokuwa wanunuzi wa madeni walikuwa kama walanguzi wengine tu.
umeongea kwa uchungu sana mkuu Mag3...........jmushi1, yawezekana wapo wanaokubaliana na mimi kuwa adui mkubwa wa taifa hili ni CCM; niliamini hivyo, naamini hivyo na nitaendelea kuamini hivyo. Sijui tuko wangapi tulioikataa CCM toka kuasisiwa kwake mwaka 1977 lakini mwasisi wa CCM, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baada ya kutambua kosa lake la kuanzisha hili zimwi alisikitika sana. Bahati mbaya ni kwamba wakati huu ukweli unajiweka wazi kwake, hakupata nafasi ya kuongoza mapambano dhidi ya hilo zimwi; zimwi lilimwahi akaaga dunia akihuzunika na kulia kwa uchungu.
Hakuna muujiza utaweza kufanyika kuliokoa hili taifa ikiwa bado iko mikononi mwa CCM na ili Tanzania ijikwamue kutoka lindi la umasikini wa kujitakia, CCM lazima ipigwe vita na kushindwa. Bila hivyo ni kujidanganya. Nchi hii ilijaaliwa kila aina ya neema na hakuna nchi ndani ya bara hili lililokuwa na utajiri wa asili kama Tanzania lakini hivyo hivyo hakuna nchi barani Afrika linaloongozwa na chama kama CCM. Wana CCM wa leo wamezaliwa humo humo, wakalelewa humo humo, wakakulia humo humo, wakakomaa na kufuzu humo humo;
Ukweli mchungu...kila awamu litakuwa ovu kuliko lililotangulia.
Ukishangaa ya Musa, je ya Farao? Juzi tumemuona RA kwenye sherehe ya kumpokea Lowassa siyo? KAGODA, iliyochotewa mabilioni kwenye EPA mwezi Octoba mwaka 2005, iliasisiwa na RA/Manji lakini wanufaika walikuwa ni pamoja na CCM. KAGODA na CCM walikuwa ni kama pete na kidole.Amepewa tenda na serikali hii ya jiwe?
Hapana mkuu, nilidhani wewe ni ccm maana nakuona mawazo yako huwa yanaendana na wale kina kipara kipya , MISULI , jingalao , Ibambasi , ISIS na wengineo ambao hapa hawajavusha mguu zaidi ya FaizaFoxy na mwenzake Laki Si Pesa 😀