bangi sio mchicha aisee,,,

bangi sio mchicha aisee,,,

98a45a5c705c7d143504b02699ab465f.jpg

Sivuti bangi mnanisingizia
 
Jamaaa yangu alichoma nyumba yake hivi alivuta akiwa ndani akawa anaona siafu wamejaa nyumba nzima hadi nje akakurupuka kutafuta kiberiti akawatia moto siafu kila pahali nyumba kwisha habar yake ilikua pemba
 
Yaani vituko vya hajabu ndo raha? Haya basi tupe mikasa yako iliyokusibu.
licha ya vituko..inakupa ujasiri wakufanya mambo yani unajikuta umefanya jambo kwa ufasaha zaidi alafu ina-steam yake flaniivi amaizing haelezeki...ntakuja kufungua uzi kabisa nielezee mkasa mzima
 
licha ya vituko..inakupa ujasiri wakufanya mambo yani unajikuta umefanya jambo kwa ufasaha zaidi alafu ina-steam yake flaniivi amaizing haelezeki...ntakuja kufungua uzi kabisa nielezee mkasa mzima

Sawa, nasubiri.
 
  • Thanks
Reactions: ywf

Similar Discussions

Back
Top Bottom