Tofauti ya huyo mvuta bangi na anaepost au kusambaza huu ujumbe iko wapi?
Hii kitu ina handas mbaya sana.. Unaweza kuwa na simu yako mkononi alafu unaanza kuitafuta, unajisachi mpaka kwenye soksi huoni kitu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nawe umeona mkuu! Yule jamaa huenda naye anapitishagamo 'kammea'Mbona hili pozi kama la mkuu wa nchi jirani?
Msiharibu kampeni za uchaguzi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nawe umeona mkuu! Yule jamaa huenda naye anapitishagamo 'kammea'
Uchaguzi wa wapi mkuu?Msiharibu kampeni za uchaguzi!
Kweli kabisa, kuna vichwa vikilipuliza siku ya kwanza tu baasi vinanyofoa fyuzi kadhaa kichwani.kama una kichwa resi...ukivuta bhangi, unaweza tembea na tochi mchana
Kenya!Uchaguzi wa wapi mkuu?