bangi sio mchicha aisee,,,

bangi sio mchicha aisee,,,

3e66321218a02942c83fc71c5ea732a8.jpg
Gomba oyeee! Hii kitu ukiwa addicted bao linatoka bila breki.
 
kama una kichwa resi...ukivuta bhangi, unaweza tembea na tochi mchana

Ni kweli kwani kuna jamaa yangu mmoja kipindi kaja likizo toka shule....alienda kujipulizia mjani pori na washikaji zake. Jamaa alilipuliza mpaka akawa anashindwa kuona ikabidi achukue bodaboda kurudi nyumbani. Kurudi nyumbani huko njiani walikutana na magari ya mizigo imepaki kupakia magunia ya nafaka, jamaa yangu akamkaba koo dereva akimgombeza kwa nini anakimbizana na ndege (yaani lile lori), kuona dereva anazidi kwenda spidi jamaa akajitupa chini eti alikuwa hataki kwenda angani na pikipiki. Kuja kushitukia kavunjika miguu yote miwili na collarbone.
 
Daaah acheni kuniua huku jamani
 
Dah! Anaendeleaje hivi sasa?
 
3d5473bd504648c255c5455494e3ae9b.jpg
ilo jani mpaka mapepo wanaliogopa unafkiri mchezo..nikikumbuka mara ya kwanza kulitumia..iko kutuko nilichokifanyaa...acha tu
 
Usiniambie ulikuwa unakimbizana na nzi ukiwa uchi, kuna jamaa alikimbiza nzi eti anadai alikuwa anamchungulia akiwa haja, watu walio jirani wacha wamkimbize kudhani ni chizi kumbe network ilichomoka kwa muda tu. Bangi bwana.
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Ni kweli kwani kuna jamaa yangu mmoja kipindi kaja likizo toka shule....alienda kujipulizia mjani pori na washikaji zake. Jamaa alilipuliza mpaka akawa anashindwa kuona ikabidi achukue bodaboda kurudi nyumbani. Kurudi nyumbani huko njiani walikutana na magari ya mizigo imepaki kupakia magunia ya nafaka, jamaa yangu akamkaba koo dereva akimgombeza kwa nini anakimbizana na ndege (yaani lile lori), kuona dereva anazidi kwenda spidi jamaa akajitupa chini eti alikuwa hataki kwenda angani na pikipiki. Kuja kushitukia kavunjika miguu yote miwili na collarbone.

Mwanangu huyo jamaa yako alirudia Tena kuvuta BANGI?
 
Usiniambie ulikuwa unakimbizana na nzi ukiwa uchi, kuna jamaa alikimbiza nzi eti anadai alikuwa anamchungulia akiwa haja, watu walio jirani wacha wamkimbize kudhani ni chizi kumbe network ilichomoka kwa muda tu. Bangi bwana.
[emoji23] [emoji23] nizaidi ya kukimbiza nzi...ila bangi ina raha yake asikuambie mtu
 
Sijawah ona madhara ya bangi,Mara ya kwanza navuta mjani 2013 boarding huko,***** Mara paaap Ticha huyu kaja kudaka simu domni,Mathee nilichomoka nae kwenye mlango kama Merlin kesho ticha tunaambiwa kalazwa alikumbwa na jini huko domni akajikuta kanata kwenye fensi haha Mzumbe Sec hy[emoji263] o
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom