Bangi haibagui mtu

Bangi haibagui mtu

Ndiyo maana dogo (taifa la kesho) hapo juu anataka kujiua kwa carbon monoxide? Kwa kweli wauza unga na bangi wanawamaliza bila huruma. Ulimsikia Mungu wenu Chidi Benz anavyosema kuhusu haya madawa yanayowabangua? Shauri zenu.
 
Bangi inazushiwa mengi sana.

Ukweli ni kwamba kuna Watu wengi wana matatizo ya kiakili, ingawa kwa kimtazamo wanaonekana wamekamilika. Na itakapotokea wakafanya kituko chochote kile, basi hapo itazushiwa Bangi
 
Kuna jamaa mmoja mtaani kwetu alikuwa mtumiaji mzuri tu wa bangi, jamaa alikatazwa mara kwa mara na dingi yake akawa mbishi. Siku ya siku kale kajamaa kakarudi masikani (Mwananyamala Makaburini) kuvuta na washikaji wake. Ile anamalizia tu akaanza kulia na kusema kuwa kuanzia ile siku yeye hataki kujuana na binadamu kwa sababu yeye ameshakuwa shetani na atakuwa anawamaliza kwa kuwala. Jamaa ni full mwendawazimu kwa sasa na kapotea ila anaonekana usiku tena kwa msimu tu. Bangi haina tija, ni ujinga tu kusema bangi inaonewa duniani. Binafsi sijawahi kuona mvuta bangi mwenye akili timamu zaidi ya kuwa mropokaji na ku-quote verses za Bob Marley kama kanuni ya maisha yake. Ukiongea naye kidogo, utamsikia Bob kasema hivi, yaani vituko tupu na nina wa-enjoy sana.
 
Yawezekana Jamaa ana matatizo yake binafsi, au naweza sema Jamaa ana matatizo ya kiakili kama nilivyosema hapo awali (ambapo umeninukuu).

Kiongozi, nakupa mfano hai.

Mimi nimeanza kuvuta tokea nikiwa na Umri wa miaka kumi na minne (14), na mpaka kufikia muda huu tunaozungumza sijawahi kuwa punguani.

Mbona sijawahi kuokota makopo hata siku moja!

Mbona nna akili zangu timamu!

Sikatai, kuna wakati huwa nafanya mzaha, maskhara, utani, lakini haina maana ya kuwa sijielewi, hapana.

Kiongozi narudia tena, Bangi si kama unavyoichukulia/mnavyoichukulia.

Mengi wanayoyasema kuhusu Bangi ni uzushi tu
 
mwenye matatizo huwa hajijui mpaka mtu wa nje ndio aseme
unaweza kuwa unafanya vitu vya ajabu kwenye jamii halaf wewe ukaona normal tu kwa sababu jamii yako haijakuambia
bangi inamadhara makubwa kwenye afya ya akili
Nchi nyingi Duniani kukataza matumizi yake sio wajinga kuna jambo wameliona
 
Bangi bwana nakumbuka 1982 tukiwa Ukerewe jamaa yetu alipuliza kama stick mbili akaenda kulala chini ya mti si tukamwacha amelala mvua ikaja mvua aisee tulishangaa mtu anakimbia huku anapiga kelele kumuuliza tatizo nini eti MASHETANI yanamkojolea
 
Yawezekana Jamaa ana matatizo yake binafsi, au naweza sema Jamaa ana matatizo ya kiakili kama nilivyosema hapo awali (ambapo umeninukuu).

Kiongozi, nakupa mfano hai.

Mimi nimeanza kuvuta tokea nikiwa na Umri wa miaka kumi na minne (14), na mpaka kufikia muda huu tunaozungumza sijawahi kuwa punguani.

Mbona sijawahi kuokota makopo hata siku moja!

Mbona nna akili zangu timamu!

Sikatai, kuna wakati huwa nafanya mzaha, maskhara, utani, lakini haina maana ya kuwa sijielewi, hapana.

Kiongozi narudia tena, Bangi si kama unavyoichukulia/mnavyoichukulia.

Mengi wanayoyasema kuhusu Bangi ni uzushi tu
Samahani unaishi maisha ya kawaida? mfano kuoa, kufanya kazi na kutegemewa na ndugu au jamii inayokuzunguka?
 
mwenye matatizo huwa hajijui mpaka mtu wa nje ndio aseme
unaweza kuwa unafanya vitu vya ajabu kwenye jamii halaf wewe ukaona normal tu kwa sababu jamii yako haijakuambia
bangi inamadhara makubwa kwenye afya ya akili
Nchi nyingi Duniani kukataza matumizi yake sio wajinga kuna jambo wameliona
Kama tukikutana ana kwa ana huwezi kujua wala kuhisi kama mimi nachoma.

Na Jamii inayonizunguka wala haifahamu kama nachoma.

Ndumu sivutii sifa, navutia starehe.

Pili kwa hivi sasa hunivutishi zile Ndumu za Maskani, zile Ndumu za Maskani nilivuta zamani sana.

Yale mambo ya kuvuta Maskani yashapitwa na wakati, mambo gani yale, wewe ile unaanza kuwasha tu, hujapata hata Mstari mmoja mara Mtu ghafla hata alipotokea hujapaona, unastukia "HARUFU ntembezee" ile kitu inakera sana.

Na cha nyongeza, nimejiwekea nikifikisha Umri fulani naacha kuvuta MINELI, na kwa kuonesha kuwa najua ninachokifanya na sibahatishi, basi kama kutakuwa na Uhai, nitaacha kweli.

Mfano Mitungi, niliamua kuacha na kweli nimeacha na nikikuambia huu ni Mwaka wa Pili na Miezi kumi na Moja, nakimbiza Mwaka wa Tatu sasa bila hata ya kuonja unaweza usiamini. Na haina maana sijawahi kuwa karibu na maeneo ya kupata Kilevi,

Naweza kuwa na Washikaji tukaamua tujitie PUB yaani poa tu, wao wanaendelea na Mitungi yao, mimi sina hata habari na wala mshipa haunistuki
 
Samahani unaishi maisha ya kawaida? mfano kuoa, kufanya kazi na kutegemewa na ndugu au jamii inayokuzunguka?
Bila ya samahani, yaani kiroho safi.

Ndio, naishi Maisha ya kawaida na nina shughuli zangu binafsi ninazoziendesha, au kwa lugha nyingine naweza sema nimejiajiri.

Kabisa wala hujakosea, Majukumu yapo/ninayo na nategemewa kama ujuavyo Familia zetu za kuunga unga, Maisha yetu ya Kibongo, hayo ni mambo ya kawaida au naweza sema ya Ulazima. Nisingeweza kufunguka kiundani hapa kwenye Masuala ya Kifamilia, ila kwasababu umeniuliza, basi sioni sababu ya kutokufunguka pengine labda unataka kujua upande wa Pili wa Shilingi kwa kuwa wengi msioijua Bangi mnaamini/mnadhani Mtu anaevuta Bangi ni kama Mtu ambae amepoteza kimaisha, au ni yule Mtu ambae hana nyuma wala mbele, au ni yule aliepoteza mwelekeo ni tofauti sana mnavyoichukulia Bangi na uhalisia wake.

Naendelea hapa kwenye Familia, ambayo ni masuala binafsi nisingefunguka kwa undani ila kwa kunyoosha mistari inabidi niweke mambo sawa.

Mimi sitokei Familia ya Kitajiri, natokea Familia ya kawaida sana ila nashukuru Mungu kwa Neema zake hatujawahi kutia huruma, wala hatujawahi kulala njaa. Nashukuru Wazazi wangu wote wawili wapo hai na nawaonea sana wivu kwa jinsi wanavyoyaendesha Maisha yao, yaani tokea walipofunga Pingu za Maisha kabla ya Mimi HARUFU kuzaliwa, mpaka mie HARUFU namwagika hapa Ulimwenguni, mpaka napata akili, hawa Viumbe wako pamoja mpaka hivi sasa tunapoongea, pamoja ya kuwa Mshua wangu Kitambo hiyo alikuwa Mtu wa kutoka Nje (Majuu) mara kwa mara tofauti na hivi sasa Mshua amekuwa Mtu wa Kulikita Bongo, pamoja na safari za Nje za Mshua mara kwa mara lakini hiyo haikuwa sababu ya wale Waja kutengana. Ni raha ilioje.

Naendelea, Mimi ningekuwa Mtu wa kujibweteka kwa jinsi wale Wazazi wangu walivyo, nna hakika mpaka hii leo ningekuwa naegemea egemea kwao. Kama ujuavyo sisi Wabongo Nyumbani kuwepo japo na unafuu kidogo tu basi kinachofuata ni kuridhika, Lakini kwa upande wangu Mimi sikutaka Maisha ya kutia huruma na kuanza kuegemea Wazazi.

Sasa hapa ndio nataka nifanye hitimisho la kutegemewa, ni hivi:-

Nimejitolea kumlea Mdogo wangu wa mwisho, pamoja ya kuwa Wazazi wangu wasingeshindwa kumlea. Lakini niliwaomba wanipe Jukumu hilo, na lengo langu ni kwa ajili ya Changamoto tu. Na nikaawaambia iwapo nitashindwa basi Mtaendelea nae, tukakubaliana.

Basi huwezi amini tokea nichukue hilo Jukumu, hakuna kilichowahi kuharibika. Haina maana naishi nae mimi, hapana. Anaishi Nyumbani na Wazazi wetu, ila mambo yote kuhusu yeye ni juu yangu mimi, kuanzia Mavazi yake, Masomo, N.K. Gharama ni juu yangu mimi.

Nimejitahidi niandike kiufupi lakini imeshindikana, na kila nilivyojaribu kufupisha imeshindikana hali kadhalika, pamoja nimejitahidi kufanya utulivu na kuutumia Muda ipasavyo lakini imeshindikana.

Nadhani sitokuchosha.

Na kwa kumalizia sasa hivi simo kwenye Maisha ya Ndoa, Niliwahi kuwemo kwenye Maisha ya Ndoa kwa kipindi cha Miaka Minne tu, yaani 2008-2012. Kwa bahati mbaya haikuwa Zali
 
Samahani unaishi maisha ya kawaida? mfano kuoa, kufanya kazi na kutegemewa na ndugu au jamii inayokuzunguka?
Swali zuri sana mkuu
Kama tukikutana ana kwa ana huwezi kujua wala kuhisi kama mimi nachoma.

Na Jamii inayonizunguka wala haifahamu kama nachoma.

Ndumu sivutii sifa, navutia starehe.

Pili kwa hivi sasa hunivutishi zile Ndumu za Maskani, zile Ndumu za Maskani nilivuta zamani sana.

Yale mambo ya kuvuta Maskani yashapitwa na wakati, mambo gani yale, wewe ile unaanza kuwasha tu, hujapata hata Mstari mmoja mara Mtu ghafla hata alipotokea hujapaona, unastukia "HARUFU ntembezee" ile kitu inakera sana.

Na cha nyongeza, nimejiwekea nikifikisha Umri fulani naacha kuvuta MINELI, na kwa kuonesha kuwa najua ninachokifanya na sibahatishi, basi kama kutakuwa na Uhai, nitaacha kweli.

Mfano Mitungi, niliamua kuacha na kweli nimeacha na nikikuambia huu ni Mwaka wa Pili na Miezi kumi na Moja, nakimbiza Mwaka wa Tatu sasa bila hata ya kuonja unaweza usiamini. Na haina maana sijawahi kuwa karibu na maeneo ya kupata Kilevi,

Naweza kuwa na Washikaji tukaamua tujitie PUB yaani poa tu, wao wanaendelea na Mitungi yao, mimi sina hata habari na wala mshipa haunistuki
 
Yawezekana Jamaa ana matatizo yake binafsi, au naweza sema Jamaa ana matatizo ya kiakili kama nilivyosema hapo awali (ambapo umeninukuu).

Kiongozi, nakupa mfano hai.

Mimi nimeanza kuvuta tokea nikiwa na Umri wa miaka kumi na minne (14), na mpaka kufikia muda huu tunaozungumza sijawahi kuwa punguani.

Mbona sijawahi kuokota makopo hata siku moja!

Mbona nna akili zangu timamu!

Sikatai, kuna wakati huwa nafanya mzaha, maskhara, utani, lakini haina maana ya kuwa sijielewi, hapana.

Kiongozi narudia tena, Bangi si kama unavyoichukulia/mnavyoichukulia.

Mengi wanayoyasema kuhusu Bangi ni uzushi tu

Sawa, itabidi niifanyie uchunguzi ila kama sijarudi kukupa mrejesho basi juwa nitakuwa naokota makopo somewhere.
 
Yawezekana Jamaa ana matatizo yake binafsi, au naweza sema Jamaa ana matatizo ya kiakili kama nilivyosema hapo awali (ambapo umeninukuu).

Kiongozi, nakupa mfano hai.

Mimi nimeanza kuvuta tokea nikiwa na Umri wa miaka kumi na minne (14), na mpaka kufikia muda huu tunaozungumza sijawahi kuwa punguani.

Mbona sijawahi kuokota makopo hata siku moja!

Mbona nna akili zangu timamu!

Sikatai, kuna wakati huwa nafanya mzaha, maskhara, utani, lakini haina maana ya kuwa sijielewi, hapana.

Kiongozi narudia tena, Bangi si kama unavyoichukulia/mnavyoichukulia.

Mengi wanayoyasema kuhusu Bangi ni uzushi tu
Mkuu ata mm nilivuta kwa kujua nitafanya vituko paka niliisi ninayovuta siyo bangi nikaenda nikawaambia nipeni ile kali kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom