Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Nilinunua line ya tigo ya chuo juzi na kuisajili kwaajili ya internet tuu, niliambiwa kuwa ukiweka 2000 unapata 4gb kwa wiki, kweli baada ya kuikamilisha menu ilikuwa hyvyo na niliunga, sasa leo naicheki tena haipo, vp wakuu kuna menu yoyote zaidi ya tigo ya kupata gb za kutosha kwa wiki kwa gharama ya angalau 2000?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app