Vodacom hawafai, ni wezi sana

pure man

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
546
437
Yaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.

Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.

Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
 
Wawekezaji wa Voda na mitandao yote ya simu ni sisiemu
1. Shivacom
2. Roos tam
3. Nnauye

Bando ya 59Gb inauzwa kwa 120,000. Sawa na $0.88 kwa 1Gb, na wanasema bei ya juu kabisa inakaribia $11 kwa 1Gb.

Walisema mkongo uta-subsidize gharama; hakuna cha kupunguza gharama wala mkongo wenyewe hauko stable na reliable, waka zima kama umeme wa tanesco.

Makampuni matatu makubwa ya simu hapa, miaka takribani 10 nyuma, yalikuwa yakikusanya sh 585bn kwa mwezi, kwa mujibu wa taarifa za serikali walizozitoa kipindi kile.

Unaweza elewa kwanini Nape kawa msemaji wao.
 
Yaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.

Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.

Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
hamia airtel mkuu
 
Mm nitaenda technical zaidI.
1.km unatumia laptop/ipad disabled auto update. .km ni cm the same.
2.fuatilia bundle lako muda wakuisha...hawajalishi limeisha au la muda ukifika wanakata iliurudi kuchumwa hela ..hii nimitandao yote.
3.all videos nahasa downloads inatumia sn data kuliko kusoma habari.
NB
Kwa upuuzi wangu wakutumia data TZ,voda wapo vzr sn kwenye datakuliko most companies ilawapo ghali,airtel voice ndio wapo vzr,tigo muda wwt wanadondosha network,mara 2 nimekosa mishe mjini sababu yao
 
Yaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.

Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.

Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
Bado kuna watu mnatumia hilo kimtandao
 
Hao nishawakimbia kitambo kisa internet
 
Si mnamchekeaga nape anavyo wadanganya kuwa bando zimepungua bei eeeh
tafuten ata maana ya NAPE kwa kizungu af mtafakari kidogo

Mtandao pekee ambao ungesaidia matatzo ya wa TZ katika mawasiliano na internet ni TTCL only sema nayo inaujumiwa na makampun binafsi wakiwemo na hao wakubwa.

Ila lait wangeiachia TTCL uhuru kama ndo mtandao mama ufanye kaz ata iyo 5G isingeletwa na voda maana uo mtandao wa mawasiliano unao milikiwa na TTCL umetoka mbali sana ko wasingeshindwa kitu

I LOVE U
 
Hamia airtel, jiunge na SME vifurushi vyake viko poa, then ujiunge bundle kubwa kuanzia 10GB na kuendelea,hizo kidogo kidogo kama ni mtumizi wa internet kwa sana utajikuta umetumia hela nyingi ndani ya mwezi mmoja kuliko anaenunua kwa pamoja.
 
Yaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata.

Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua unaangalia video zenye quality sana.

Jamani hata hiyo kwa quality ndo 1.5 GB ukiweka tu hata dk moja haiishi imekata, let us all say no kwa wizi huu saizi nimejaribu tigo nione ila voda sirudi tena.
ni wezi sana hawa ila jaribu kufunga app ambazo hutuu kwa wakati huo kama unatumia iphone ingia setting bonya general utaona pale
 
Mtandao pekee ambao ungesaidia matatzo ya wa TZ katika mawasiliano na internet ni TTCL only sema nayo inaujumiwa na makampun binafsi wakiwemo na hao wakubwa.

Ila lait wangeiachia TTCL uhuru kama ndo mtandao mama ufanye kaz ata iyo 5G isingeletwa na voda maana uo mtandao wa mawasiliano unao milikiwa na TTCL umetoka mbali sana ko wasingeshindwa kitu
Hapa funguka vizuri hapa umeacha mapengo mapengo funguka vizuri hapa
 
Duuh hao ndo wezi wa kutupwa kabisa 😂😂😂😂
Kasi ya internet ipo faster sana Airtel na huduma zao ni affordable nnatumia halotel na Airtel Ila sana sana halotel
Mbona nafanya hivyo daily na hamna shida airtel ndo waizi wakubwa mkuu sijajiunga hata nakuta tayari meseji eti bando yako imeisha daaah so sad 😁
Halotel sijiungi bando la wiki katu kamwe we endelea labda simu yako Ila simu yangu nikiunga la wiki halifiki siku 2 na matumizi ni yale yale MB 850 bando halivuki 24hrs na ni bando la wiki nikiunga bando la MB 200 haliishi ng'o na bonus wananipa bando likiisha yaan naendelea kutumia bure hata bando likiisha mpaka mda nilionunua bando ukivuka ndio wanazuia MB inabidi ninunue upya

Yaan juzi juzi nimejiunga MB 850 nikaperuzi km masaa 2 hivi issue ni zile zile naperuzi kila siku nikijiunga MB 200 brother after 2 hrs nacheck salio naambiwa zimebaki 300 yaan ndani ya masaa 2 nimekula MB 550 kitu ambacho sio kweli sina matumizi makubwa kiasi hicho matumizi yangu ni MADOGO mno MB 200 kwa siku Mimi simalizi natumia na zinabaki nanunua zingine siku hio wananiambia nimekula MB 550 ndani ya masaa 2 sinunui tena bando la wiki halotel alafu wapo serious kila baada ya mda ukicheck zimebaki MB 230 najiuliza hizi MB zinaenda wapi? Siku ya Pili nacheck naambiwa umebakiwa na MB 66 yaan hizo 66 hata jioni hazikufika wanasema umemaliza kifushi chako cha internet MB 850 siku 2 halotel Qmanyoko
 
Halotel ndo walewale, Ila kidogo kwangu TIGO bundle lake haliwahi kukata, kwangu kidogo wamejitahidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom