Wakuu hapo ni baada ya Kiwira, kabla ya mto Kiwira just before kuanza kupanda milima sehemu inaitwa "Uwanja wa ndege".
Kama unavyoona ni mvua siku hiyo(kwenye kioo) na nilipaki kununua ndizi kwa ajili ya safari ya kurudi Dar siku ya pili. <!-- google_ad_section_end -->
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.