Banana country!!

Banana country!!

Majoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
612
Reaction score
189
Kwa wale wala ndizi mnao toka hukooo!!
Hapa wapi? Banana country!.JPG
 
Hapo ni Ntokela, Kiwira, Rungwe , Mbeya= Mabhifu zote mia, chukulia na watoto

Wakuu hapo ni baada ya Kiwira, kabla ya mto Kiwira just before kuanza kupanda milima sehemu inaitwa "Uwanja wa ndege".
Kama unavyoona ni mvua siku hiyo(kwenye kioo) na nilipaki kununua ndizi kwa ajili ya safari ya kurudi Dar siku ya pili.
<!-- google_ad_section_end -->
 
Mto wa Mbu wilayani Monduli Mkoa wa Manyara Kitongoji cha Kigongoni
 
nice shot! camera nzuri sana, unaweza kutudokeza ina megapixels ngapi?
 
Hapo ni Katerero kwenye shamba la byarugaba kamugisha
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
Back
Top Bottom