bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,141
- 2,018
Aaahem
Muda siku zote waenda mbele, muda hausubiri mtu, na katika kwenda kwake mbele Muda huja na mabadiliko. Ole wao wale wanaopingana na sheria hii ya mda kwa kukataa kukubali uhalisia kwamba zama zao sasa zaingia machwewo, hivyo kuweka ukinzani kuendelea kufanya mambo yao kama walivyokuwa wanafanya siku zote huko zamani. ni huzuni kwa kweli kwa mwanadamu yoyote pale anapokuta yupo mie ya nyakati... sasa Wote ni mashaidi kwa kushuhudia fashion/mitindo mingi zikija na kupita. Sasa leo nataka kuongelea mtindo wa kucheza kwa kukata viuno hadharani kwa wanaume. Kucheza sebene.. Ama dance..
Huu ni mtindo ambao ulikuwa ndio namna ya kucheza kwa miaka mingi Africa kabda ya 2010s, sasa kutokana na nguvu za utandawazi, dunia kama kijiji, kuna mambo yanatokea Yanayohatarisha mwanaume achezayee kwa staili za kukatikaa.
Mfano dume zima una ndefuu unakata mauno uku ukipiga mayowee " iiiiiyooo" si ridhiki kabisaa kwa hizi nyakati za 5G. .. Wakongoo wabadilii tu staili za kuchezaaa kwa namna nyingine tu wanaweza fanya ila kama Wakiendelea wanakuwa anomaly kwenye hizi nyakati za majaribio.
Kwa kufanya hivyo watakuwa sio tanaduni ya kwanza kubadili mtizamo kutokana na utandawazi, mifano ipo mingi kama bodybuider board IFBB kutoa pozi la kuputuka ikiwa kama njia ya kutojihusisha na wakwamparange, au kama koo ya Mboro kutoka uchagani kuachana na jina lao.
Hivyo basi bakongo muaje kukataa mauno shauri zenu watu wa mataifaa wasije wachukulia vinginevyo. Sheria unaruhusiwa endapo upo ndani ya kuta nne uwanja wa fundi seremala.