"Bambo" apata ajali mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Bambo" apata ajali mbaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjunguonline, Jun 15, 2011.

 1. mjunguonline

  mjunguonline Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msanii wa sanaa ya uchekeshaji Dickson Makwaya a.k.a "Bambo mzee wa kuchamandi" amepata ajali mbaya ya kugongwa na gari akiwa katika pikipiki maeneo ya Kigogo Mbuyuni jana usiku. Hali ya msanii huyo si nzuri sana na ameumia sehemu kubwa ya mwili wake na inasemekana kuwa amevunjika mfupa wa paja. Msanii huyo amelazwa wodi ya wagonjwa wa mifupa MOI na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji Asubuhi hii. Mungu amsadie arudi katika hali yake ya zamani.Mzee wa "Aluuu....,Kukuluka mwanangu....Huwezi kupasua Godoro!
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Pole bambo
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Pole Bambo,Mungu atakusaidia.Piki piki nazo?..
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Pole bambo, Mungu akupe uponyaji wa haraka
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Pole bambo GOD bless you man.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Jamani TOYO bila shaka ita2malizia wasanii we2 wajaribu kuepuka kupanda jamani. Mmmmmhh!
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Kwani unadhani wanapenda kupanda hizo TOYO tatizo Bongo gari bado ni anasa, wewe fikiria kistarlet tu bila millioni 6 bado haujakimiliki. boda boda zitatumaliza sana na kusababishiwa ulemavu wa viungo kwa jamii pana ya Tanzania.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Pole sana Bambo mungu atakujalia utapona
   
 9. z

  zamlock JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  pole bambo huwa nafurahi sana unapokuwa unacheza na jukwaa
   
 10. K

  Kinto Senior Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Pole sana Bambo. Mungu akusaidie upone haraka
   
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Pole sana Bambo.
  Wandugu pikii piki usiku msipande kabisa, Angalieni rate ya ajali za piki piki kati ya usiku na mchana and you will not the huge difference
   
 12. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Pole sana Bambo, tunakuombea kwa M/Mungu upate nafuu haraka.
   
 13. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hizi pikipiki zitatumaliza kwani kila uchao ni vifo vya pikipiki... nadhani kwa sasa vinaongoza kuliko vifo vya sababu nyingine... Pole Bambo...
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  OMG! bambo pole sana kaka, tunakupa sala zetu ili upone haraka, Mungu yuko nawe
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mola akujaalie upone haraka Bambo
   
 16. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hizi ndizo ambazo Baba Riz alizisifia kuwa zimeongeza ajira? akasahau pia zimeongeza ajali..... akili matope..
   
 17. CPU

  CPU JF Gold Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135


  Wasanii wenzake na Bambo wakiwa na sura za majonzi mara walipofika hospitalini kumwona mwenzao Dickson Samson Makwaya a.k.a Bambo aliyelazwa kitandani.


  IMG_2392.jpg
  Picha ya dereva wa pikipiki waliyopata nayo ajali alfajiri ya leo.

  IMG_2396.jpg
  Picha ya Bambo

  IMG_2385.jpg
   

  Attached Files:

 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Hii ni terrible accident. mbaya sana duh!.
   
 19. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole sana Bambo, mungu atakusaidia
  Epuka pikipiki wapendwa au ukipanda hakikisha unampa mashariti dreva atakayekubeba
   
 20. P

  Puza Senior Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  augue salama
  Tuombe i wasimshughulikie kama wahanga wa bodaboda manake pale moi si mchezo
   
Loading...