Na Rupia pia alikuwa invisible????. haina ukweli hii. Sefue anaweza kuchukua
..hii itakuwa ni ajabu kidogo ukizingatia kwamba Balozi Sefue hajapata kuwa Katibu Mkuu wa wizara yoyote ile.
..Makatibu wakuu viongozi wengi waliomtangulia waliteuliwa kutoka ktk safu ya Makatibu Wakuu.
..pia nafasi hiyo haijapata kushikwa na mwanamke tangu tupate uhuru. Je, hakuna kina mama wanao-qualify hapo?
..hakuna Mzanzibari amewahi kuteuliwa Katibu Mkuu kiongozi.
..pia sikumbuki kama kuna Muislamu amewahi kushika wadhifa huo.
NB:
..according to mwana JF Kilasara,Makatibu wakuu viongozi tangu tupate uhuru ni hawa hapa: Dunstan Omari, Joseph Namata, Dickson Nkembo, Timothy Apiyo, Paul Rupia, Martens Lumbanga, na Philemon Luhanjo.
Mikoba ya Luhanjo inachukuliwa na Mama Blandina Nyoni aliyewahi kuwa Accountant General.
She is capable. Anayebisha apite mbele, kama anajiamini.
Zing CS ni mtu mkubwa sana. Ninachojua kwa kifupi ni kwamba yeye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri pia ni Mkuu wa Watumishi wote wa Umma. Ni Mkuu wa Makatibu Wakuu wote! Labda MMM atakuja na mengine
Mkunga said:Kwenye red. Mkuu Chif Secretary sie Katibu wa Baraza la Mawaziri cheo hicho kinaitwa Karani wa Baraza la Mawaziri (Clerk to the Cabinet). Wa mwisho kumfahamu alikuwa somebody Mkwizu. Nafasi hiyo hata Pinda aliwahi shika 1996 mpaka alipopata Ubunge 2000. Kimsingi post hizi za CS na Karani BLM ni reserved (sijui kama ni sahihi) kwa watu wa system masenior waliokaa Ikulu mda mrefu.