Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,226
- 44,394
mkuu una maana gani?@Mwanakijiji
mtu huyo uliyemtaja kweli watu wanasema yu karibu na kikwete lakini hatakuwa kwasababu ya cheo kidogo alichowahi kuwa nacho ndani ya taasis ya invisible....toka taifa lianze basi wote waliowai kuchaguliwa waliwai kuwa maafisa wakubwa ndani ya taasisi hiyo
Kama pinda asingekuwa waziri mkuu basi nafasi hii ingekuwa wazi kwake kwani nayeye ni miongoni mwa wanachama wa taasisi ya invisible(system) serikalini.. hiki cheo wamekishika na kukifanya ni mali ya wakuu wa taasisi hiyomkuu una maana gani?
Mkuu kuwa mtaasisi ni kigezo pekee? maana dunia imebadilika sana hata katika mbinu za taasisi hiyo, ukumbuke wakati huu wa Digitali kumbe kuweka hao wa zamani simply ni wanataasisi bila nyongeza itatuletea ufanisi mdogo na hata kumpotosha Mheshimiwa katika mambo mengi kama tulivyoshuhudia nyakati hizi.Kama pinda asingekuwa waziri mkuu basi nafasi hii ingekuwa wazi kwake kwani nayeye ni miongoni mwa wanachama wa taasisi ya invisible(system) serikalini.. hiki cheo wamekishika na kukifanya ni mali ya wakuu wa taasisi hiyo
Kabla ya sakata la Jairo lililolipuka mwaka huu n wazi jairo alikuwa arudishwe Ikulu. Sasa jina hili lnatajwa kama n salama. Ni mtu wa karibu "sana" na Kikwete. Msisitizo uko kwenye neno "sana".
mkuu una maana gani?
​Mkuu, hizi siredi za mafumbo mafumbo nazo ni shida tu. Sijui watu wanadhani sote tuko kwenye system kama wao?!
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Bw. Ombeni Sefue ndiye atakayerithi mikoba ya Katibu Mkuu Kiongozi aliyejikuta kwenye malumbano na wabunge mwaka huu pamoja na kygubijwa na lawama nyingi Bw. Luhanjo a.k.a "Chifu". Hizo ndizo tetesi tulizozisikia leo.
Nasikia nafasi ya Sefue itajazwa na Radhia.
Asha Rose anarudi Bongo June 2012Mhhhhh! Kwa hiyo mtu na mdogo wake wote ndani ya New York City!!!!
Asha Rose anarudi Bongo June 2010
Wengne mckurupuke ucngzin na kuleta uozo humu. Sasa Asha Rose anarudi bongo june 2010 maana yake nini?