Balozi Mpya wa Iran huko Vatican apeleka hati za utambulisho kwa Papa

Status
Not open for further replies.
Matola
Naona wewe ndio umeandika kama mjinga; sisi tunaofahamu mambo tunaelewa Iran pamoja na kuwa ni nchi ya kiislamu haimaanishi kuwa ni wananchi wa Iran 100% ni waislamu; ndani ya bunge la Iran; wayahudi ma wakristo wanawawakilishi wao; ni punguani tu ndiye atakayeona ajabu kwa Iran kuwa na mwakilishi Vatican; nadhani umenielwa nikifunguka zaidi mshabiki mwenzako Paw atalishia ban

I-ran is 99% Muslims. Percentage Muslim > Islam statistics - Countries Compared - NationMaster
 
Yaani dini zinaharibiwa na watu wajinga wachache. Ila kimsingi dini inatujengea maadili dini zisingekuwepo sijui tungekuwa watunwa namna gani ila makosa ni pale tunapo wapa wajinga nafasi za kusemea dini na kuanza kutoa matamko ya ovyo uki yakileta utengano baina yetu.

Tuangalie uwezo wa watu kiakili kabla hatujawapa kuongoza dini wengine hawana akili timamu.

kuna mshikaji fulani hapo magomeni na wenzake ndiyo ana kimkoba cha kuhifadhoia akili za masela wetu.
Muda mwing huwaacha na vifuu vitupu then anawapiga oto, basi hapo huwaa balaa.
 
Nakuapia kwa jina la Aliye na uwezo juu ya viumbe vyote,hawa jamaa wakielewa hili fumbo la IMANI Watajutia muda wao katika kitu "wasichokifahamu"

Fumbo la imani ninini

Mungu mwana mungu baba mungu roho

Vittabu 72
Vitabu 66

Bado sijaona dini yoyote inaweza kunishawishi ni kaukana uisilamu wangu

Mmejaaliwa sanavhusda na kashfa kwa uisilamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom