Balozi Mpya wa Iran huko Vatican apeleka hati za utambulisho kwa Papa

  • Thread starter Mzee Mwanakijiji
  • Start date

Status
Not open for further replies.
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
32,089
Likes
8,649
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
32,089 8,649 280


Balozi Mpya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Holy See Bw. Mohammed Taher Rabbani amepeleka hati za utambulisho wake kwa Baba Mtakatifu Fransisco leo. Kabla ya uteuzi wake Balozi Rabbani aliwahi kuwa Balozi huko Guinea na Qatar.
 
M

mhondo

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
971
Likes
39
Points
45
M

mhondo

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
971 39 45
Tanzania ina balozi/ubalozi Vatican? au ni Vatican tu ndio ina ubalozi Tanzania.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,536
Likes
10,548
Points
280
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,536 10,548 280
Ngoja kina povu special waje
 
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,634
Likes
2,275
Points
280
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,634 2,275 280
Sijaona mantiki ya hii kuwekwa hapa... Mbona kila kukicha mabalozi wanateuliwa kwenda huko vatcan ....
 
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Messages
13,338
Likes
2,056
Points
280
N

Nonda

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2010
13,338 2,056 280
Balozi Mpya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Holy See Bw. Mohammed Taher Rabbani amepeleka hati za utambulisho wake kwa Baba Mtakatifu Fransisco leo. Kabla ya uteuzi wake Balozi Rabbani aliwahi kuwa Balozi huko Guinea na Qatar.
Mkuu
Umeazima ofisi ya Max & M. Smith?
 
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,816
Likes
146
Points
160
MaxShimba

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,816 146 160
(Romereports.com) Iran has a new ambassador to the Holy See. The Pope welcomed Mohammed Taher Rabbani to the Vatican's Apostolic Palace, where he presented the Pope with his credentials.

The ambassador came along with his diplomatic delegation and the Pope individually greeted each one of them.


As a gift, Rabbani gave the Pope a tapestry that was made in his home town and a book collection.

Before coming to Rome, Rabbani served as the Iranian Ambassador to Guinea and he was also the Foreign Ministry Director for Parliamentary and Legislative Affairs. He has also served as an ambassador in Qatar.


Video: Pope welcomes Iran's new ambassador to the Holy See - YouTube

Pope welcomes Iran's new ambassador to the Holy See
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,614
Likes
3,473
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,614 3,473 280
wenzetu wanasonga mbele....sisi tunamkataa baloz wa vatican tz sijui kwa faida ya nani....walio tufundisha dini wana elewana sis wanafunzi tuna jijengea chuki
 
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
1,850
Likes
22
Points
135
ThinkPad

ThinkPad

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
1,850 22 135
Yaani dini zinaharibiwa na watu wajinga wachache. Ila kimsingi dini inatujengea maadili dini zisingekuwepo sijui tungekuwa watunwa namna gani ila makosa ni pale tunapo wapa wajinga nafasi za kusemea dini na kuanza kutoa matamko ya ovyo uki yakileta utengano baina yetu.

Tuangalie uwezo wa watu kiakili kabla hatujawapa kuongoza dini wengine hawana akili timamu.
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
Iran ni nchi ya "Kiislamu" iliyoamua kuwa na uhusiano wa kibalozi na Vatican wakati Tanzania tunaambiwa kuwa ni nchi ya kisekula imeamua kuwa na uhusiano na nchi ya kidini (dini moja kati ya nyingi zilizomo nchini)...vipi ime-balance (mfano kujiunga na OIC kwa ajili ya Waislamu) ili kuwathibitishia raia zake kuwa serikali haina dini?
 
S

salasala

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
219
Likes
8
Points
35
S

salasala

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
219 8 35
OIC siyo nchi ni jumuia, Vatican ni nchi kama iran au Tanzania.
 
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2009
Messages
2,417
Likes
5
Points
0
S

Sideeq

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2009
2,417 5 0
OIC siyo nchi ni jumuia, Vatican ni nchi kama iran au Tanzania.
"Contemporary" ya Iran ni Italy ambayo tayari ina ubalozi nchini.

Vatican ingeendana na ubalozi wa Makkah! na maadamu Makkah haina ubalozi basi iwe OIC.
 
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Messages
17,081
Likes
85
Points
0
zomba

zomba

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2007
17,081 85 0
[h=1]Pope Benedict's resignation linked to gay conclave: report[/h] [h=2]A 300-page dossier compiled by three cardinals investigating the theft of Vatican documents was reportedly given to the Pope the day he decided to resign. The investigation is said to have uncovered a number of factions within the Vatican of gay men who have engaged in sexual activity with male prostitutes and at organized sex romps.[/h]
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,111
Likes
1,048
Points
280
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,111 1,048 280


Balozi Mpya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Holy See Bw. Mohammed Taher Rabbani amepeleka hati za utambulisho wake kwa Baba Mtakatifu Fransisco leo. Kabla ya uteuzi wake Balozi Rabbani aliwahi kuwa Balozi huko Guinea na Qatar.
Mkuu umeanzisha uzi halafu umekimbia. Kwani cha ajabu ni nini ilihali member of Parliament nchini Iran ni Jews and Christians.

Nakuheshimu sana Mzee Mwanakijiji lakini kwa uzi huu ulioleta ni itaanza battle ya maneno btn Muslim v Christian wakati hayo mambo tulishaanza ya kuyasahau nchini kwetu.
 
Last edited by a moderator:
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2013
Messages
1,022
Likes
4
Points
135
Philip Dominick

Philip Dominick

JF-Expert Member
Joined May 26, 2013
1,022 4 135
vatcan wana ubalozi huku c ndo yule walitaka kumlipua kumlipua Arusha
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,275
Likes
20,414
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,275 20,414 280
Matola
Naona wewe ndio umeandika kama mjinga; sisi tunaofahamu mambo tunaelewa Iran pamoja na kuwa ni nchi ya kiislamu haimaanishi kuwa ni wananchi wa Iran 100% ni waislamu; ndani ya bunge la Iran; wayahudi ma wakristo wanawawakilishi wao; ni punguani tu ndiye atakayeona ajabu kwa Iran kuwa na mwakilishi Vatican; nadhani umenielwa nikifunguka zaidi mshabiki mwenzako Paw atalishia ban
Sasa tatizo liko wapi kwa Vatican kuwa na ubalozi Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,275,109
Members 490,908
Posts 30,532,856