Human Rights Watch: Rwanda inawaua Wapinzani na Wakosoaji wake

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Shirika la hilo la Kutetea Haki za Binadamu (HRW) limeishutumu #Rwanda kwa kutumia mbinu za ukandamizaji na kuwalenga wakosoaji wake waliopo nje ya nchi, wakiwemo walioomba Hifadhi na Ulinzi wa Kimataifa.

1696941286906.png

Kwa mujibu wa ripoti ya #HRW, Rwanda imekuwa ikiwanyanyasa Kimwili wakosoaji ikiwa ni pamoja na Mauaji, Utekaji, Ufuatiliaji, Matumizi Mabaya ya Sheria za ndani na za Kimataifa pamoja na Unyanyasaji wa ndugu wa Wakosoaji.

HRW imesema ilifanya mazungumzo na Watu 150 wakiwemo Wakosoaji na Ndugu wanaoishi Australia, Ubelgiji, Canada, Ufaransa, #Kenya, Msumbiji, Afrika Kusini, #Tanzania, #Uganda, Ulaya na Marekani ambapo walikiri kufanyiwa Ukatili huo.

Ripoti ya HRW inakuja siku chache ambapo Serikali ya #Uingereza imekata rufaa Mahakamani kuhusu uamuzi wa kuzuia mipango ya kuwapeleka Nchini Rwanda watu wanaoomba hifadhi ya Usalama.

================

Rights group Human Rights Watch (HRW) has accused Rwanda of using repressive tactics to target its critics abroad, including those who have sought international protection.

“The combination of physical violence, including killings and enforced disappearances, surveillance, misuse of law enforcement - both domestic and international - abuses against relatives in Rwanda… constitute clear efforts to isolate potential critics,” it says.

The report has been published as the UK's Supreme Court hears the British government’s appeal against a ruling blocking its plans to deport asylum seekers to Rwanda.

The UK should not consider Rwanda a safe country, it said.

“[The] findings highlight that Rwanda is not a country the UK should rely upon to uphold international standards or the rule of law when it comes to asylum seekers,” said Yasmine Ahmed, the HRW’s UK director.

Rwanda denies the allegations, with government spokesperson Yolande Makolo accusing HRW of "distorting the reality" and “advancing a politicised agenda”.

In its report, the HRW said it had interviewed about 150 people across the globe covering the period since President Paul Kagame’s election win in 2017.

It said it had documented abuse against Rwandans living in Australia, Belgium, Canada, France, Kenya, Mozambique, South Africa, Tanzania, Uganda, the UK and the US, as well as their relatives in Rwanda.

BBC
 
View attachment 2777760

Kagame alionao mbali, kukaribisha watu kutoka nchi za nje,ingesaidia kuleta cultural diversity, na hivyo kupunguza utawala wa makabila makubwa mawili ya hutu na tutsi, na hivyo kupunguza risk ya vita siku Kagame akiwa katwaaliwa... Maana watu kwa sasa wanatembea huku rohoni wanajiapiza siku akitoka, tutalipa kisasi😁
 
Back
Top Bottom