mahiga

  1. Infantry Soldier

    Mzee Augustine Mahiga ndiye alikuwa "role model" wangu. Roho inaniuma sana sikuweza kuhudhuria msiba wake. Siku moja ninatamani kuja kuwa kama yeye

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kama kuna matukio yaliouchoma moyo wangu ndani ya mwaka huu wa 2020 basi ni kifo cha huyu mzee Augustine Philip Mahiga. Huyu baba sikubahatika kuonana naye ana kwa ana lakini ndiye aliyekuwa "role model" wangu katika...
  2. seedfarm

    Mazishi ya Dkt. Augustine Philip Mahiga kijijini kwake Tosamaganga mkoani Iringa. Mkewe ashindwa kuhudhuria baada ya kuwa Kenya akiuguza mtoto

    Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga leo atamaliza safari yake duniani kwa kuzikwa kijijini kwake Tosamaganga. Viongozi mbalimbali wa kitaifa wakiongozwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu watamsindikiza katika safari yake hii ya mwisho. Aliyekuwa waziri wa Katiba na...
  3. Stuxnet

    Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

    Je, Augustine Mahiga ndiye "Shahidi X" kwenye kesi maarufu ya uhaini ya mwaka 1983? Yasemekana alikuwa na kumbukumbu mujarab zilizowezesha kuwasambaratisha washtakiwa. Kitabu cha Kesi ya Uhaini kilitoka mwaka 1985 kilichokuwa kimeandikwa na Marehemu Mnenge S. Suluja. Mhusika mkuu wa...
  4. Filipo Lubua

    Tumefikia Utimamu wa Uwazimu

    Twajaa utimamu wa uwazimu, bila dhima twamhukumu imamu Huzunini twajifanyia karamu, Ramadhani twabugia kharamu Wenye wehu tumewapa hatamu, dhiki yetu itadumu dawamu Maumivu yatujia kwa jamu, watoto wetu watatulaumu Isikize yangu nudhumu, niambapo kwa yangu taalimu Niseme hilaze bin-Adamu...
  5. Roving Journalist

    TANZIA TANZIA: Balozi Augustine Philip Mahiga, Waziri wa Katiba na Sheria amefariki dunia

    Rais Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wake wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga aliyefariki leo alfajiri Mei 01, Jijini Dodoma Taarifa iliyotolewa na Ikulu imesema Waziri huyo aliugua ghafla akiwa nyumbani kwake na alifikishwa hospitalini akiwa tayari ameshafariki dunia...
  6. Suley2019

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  7. J

    Balozi Mahiga: Tumepokea ripoti za Amnesty International Human Rights watch na tutajibu kipengele kwa kipengele

    Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Mahiga amesema wameshapokea ripoti za Amnesty International na Human rights watch na wameshaanza kuzifanyia kazi. Balozi Mahiga amesema kuna baadhi ya mambo walishayatolea maelezo huko nyuma na mengine yaliyobaki watayajibu mstari kwa mstari. Dr. Mahiga...
  8. Kaka Pekee

    Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

    Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Back
Top Bottom