OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
- Thread starter
- #81
Mzee Lusinde anazunguzmia uhalisia na sio unafiki maana anamfahamu lowassa na mchapakazi mahiri na anayeweza kuthubutu bila ajizi na record yake imejaa ucgapakazi mzuri tu,kila tu Richmond tu kwenye Richmond lowassa ndo alikataa hiyo company lakini mkumbuke nchi ilikuwa gizani kipindi kile na zaidi mtambo huyo wa Richmond ndio unafanya kazi mpaka leo,mie nadhani tujikite kwamba kwenye za msingi za kuwakwamua watanzania na u maskini na sio hoja mfu