Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

Hivi ni lazima kufuata kila alichowaza/kusema Nyerere katika nchi hii kana kwamba watanzania hawana akili?
Hata mambo yanayoenda na wakati sisi tupo na Nyerere tuuu!
Tutumie akili zetu jamani,kila kitu baba wa Taifa alisema/Nyerere alisema,tuache fikra tegemezi
 
Hahahaha Makongoro kweli kuna vichaa hapa duniani......

Magufuli ukimuliza hata Mkt wa Ccm mkoa wa Mara hamjui, mtu kama huyo hatuwezi kumpa chama Mkuu
ungetoa sababu nzuri sio hiyo. mtu anajua barabara zote nchini na kilometa zake ndio majina ya makatibu wa ccm!!
 
mkuu hauwezi kumlinganisha MAGUFULI NA lowasa ambaye uwezo wake ni nusu GB anategemea mitandao ya majambazi wake na hela chafu kumpeleka ikulu,wakitaka kuona ukweli tuweke mdahalo huone takwinu za ukweli za utumishi wake na weredi wa kujenga hoja,
 
ungetoa sababu nzuri sio hiyo. mtu anajua barabara zote nchini na kilometa zake ndio majina ya makatibu wa ccm!!

mkuu achana na mjiga kwani LOWASA anafaamika kwa richimond hakuna kitu kingine ambachi kona zote za nchi hii zinakifaamu na kukiona kwa macho yao lkn MAGUFULI kila kona ya nchi hii inamfaamu kwa kuona aliyoyafanya kwa kila sekta aliyofanya kazi lkn zaidi uwezo wake wa kujiamini kiuongozi sio kutegeme makundi na pesa kuonga.
 
Ilikuwaje Richmond.... Au na wewe umekaririshwa...
 
Kuna mazuzu humu mpaka mmenikera mmeng'ang'ana aseme ukweli aseme ukweli kwani amekataa kila jambo lina wakati wakati subirini muda wa kusema ukweli ukifika atasema ninyi ndio huwa mkiona wazazi wenu wamechelewa kufanya jambo fulani mnaingilia na kujifanya mnaweza na kuambulia laana, na pia gharama za ukweli mnazijua? Msije mkawa mnaropoka tu hapa mwenzenu akikumbwa na balaa muishie tu c ujinga wake maana hamna la kheri nchi hii kadhalika ninyi ni lini basi mmetoa tu japo kwa ufupi ukweli wa maisha yenu tuka share hapa hata leo mtake kwa Lowasa kuuleta ukweli ambao wenye akili timamu mpaka hapa tunaujua!
 
Wakati wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya urais ikifika 32, mwasisi wa chama hicho, Balozi Job Lusinde amesema wimbi hilo ni ishara ya kupanuka kwa demokrasia, huku akisema Lowassa ni mtu safi na anayefaa kwa wakati huu...

Akizungumza jana katika mahojiano maalum na gazeti hili, Balozi Lusinde alisema kada huyo wa CCM ni kiongozi mchapakazi na mwadilifu... Alisema watu wanaopita katika maeneo mbalimbali nchini na kuchafua wagombea wengine wanastahili kuchukuliwa hatua kali sana, kwani tabia hiyo si nzuri...

"Ni Lowassa huyu huyu aliyefutilia mbali mkataba wa City Water baada ya kubaini ni wadanganyifu. Richmond ukiulizwa anahusika vipi huwezi kujibu kwa sababu hausiki. Edward Lowassa ni kiongozi mchapakazi kweli kweli na mwadilifu"..

"Lowassa anaadhibiwa kwa ubunifu wake, kwani alikuwa anahangaika kutafuta suluhu ya tatizo, kama Richmond ilikuwa na tatizo mbona tulinunua Dowans na Obama (Rais wa Marekani) akabariki," alisema Balozi Lusinde....

Huu ni muda wa chama kusimama imara, kuwa na umoja na mshikamao na sio kuwaachia baadhi ya wagombea wanaopita katika maeneo mbali mbali nchini na kuchafua makada wenzao.....

Mpaka sasa makada wa CCM ambao wamechukua fomu kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu hadi kufikia jana ni 32...

Jambo Leo... 14.06.2015...

Lowasa alihusika na kashfa ya Richmond pale
 
Lowassa ndio chaguo la watanzania kwa sasa...... Bila Lowassa tutaandamwa na umasikini kwa zaidi ya miaka 10 ijayo

Wewe ma usiseme chaguo la watanzania sema la wachumia tumbo kama wewe usiejua hata kutambua picha
 
Wakati wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi ya urais ikifika 32, mwasisi wa chama hicho, Balozi Job Lusinde amesema wimbi hilo ni ishara ya kupanuka kwa demokrasia, huku akisema Lowassa ni mtu safi na anayefaa kwa wakati huu...

Akizungumza jana katika mahojiano maalum na gazeti hili, Balozi Lusinde alisema kada huyo wa CCM ni kiongozi mchapakazi na mwadilifu... Alisema watu wanaopita katika maeneo mbalimbali nchini na kuchafua wagombea wengine wanastahili kuchukuliwa hatua kali sana, kwani tabia hiyo si nzuri...

"Ni Lowassa huyu huyu aliyefutilia mbali mkataba wa City Water baada ya kubaini ni wadanganyifu. Richmond ukiulizwa anahusika vipi huwezi kujibu kwa sababu hausiki. Edward Lowassa ni kiongozi mchapakazi kweli kweli na mwadilifu"..

"Lowassa anaadhibiwa kwa ubunifu wake, kwani alikuwa anahangaika kutafuta suluhu ya tatizo, kama Richmond ilikuwa na tatizo mbona tulinunua Dowans na Obama (Rais wa Marekani) akabariki," alisema Balozi Lusinde....

Huu ni muda wa chama kusimama imara, kuwa na umoja na mshikamao na sio kuwaachia baadhi ya wagombea wanaopita katika maeneo mbali mbali nchini na kuchafua makada wenzao.....

Mpaka sasa makada wa CCM ambao wamechukua fomu kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu hadi kufikia jana ni 32...

Jambo Leo... 14.06.2015...

Hii ni habari timilifu na imetoka kwa Lusinde mwadilifu , nakupongeza mpendwa katika mageuzi kwa habari hii L-IS CLEAN
 
ukiniweka na Mimi unachekesha Sana.....mtanzania mpuuzi anaweza kumshadadia el

Mimi acha niwe miongoni mwa hao watanzania weeeeengi "wapuuzi" ili nim shadadie tu EL

Na nikuhakikishie kitu kimoja kwamba hata wewe utazibua tu huo ufahamu wako uliozibwa na "nta" ya ujinga wa kiCCM ili uwe miongoni mwa "wapuuzi" wa mabadiliko!

Karibu sana
 
Back
Top Bottom