Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

1. Wazee wamechoka. . . . .. Wakati anajiengua mbona hakusema??!!!
2. Hayo ya Dowans angeyasema lini kama Lowassa asingegombea? ?!!
3. Amemueleza mwenyekiti wake kuwa alipokubali huyu candidate kujiengua uwaziri mkuu alifanya kosa??!!

Kama kweli ni mzalendo mbona hasemi kwa uwazi akaeleweka juu ya hiyo Richmond??!!!
wewe uliiona ripoti ya Mwakyembe?Kama haikuwekwa wazi unawezaje kusema haya ya Lusinde kipindi kile?
 
Mzee lusinde hata wewe umepewa mgao umpigie debe? Kule pensheni haitoshi lowassa kakupa kiasi gani mpaka ufanye Kazi ya CC ya CCM?
 
Hahahaha Makongoro kweli kuna vichaa hapa duniani......

Magufuli ukimuliza hata Mkt wa Ccm mkoa wa Mara hamjui, mtu kama huyo hatuwezi kumpa chama Mkuu

Na kama una maono ... Huko kutojulikana ndio Dili ya kumpa mtu ushindi this time.
 
Ukiwaona wana CCM wengi humu wanashabikia vibaka hiyo ni dalili ya wazi ya yale aliyoyasema Makongoro Nyerer kuwa kuna vibaka wamevamia chama cha Mapinduzi, wengine wao ndio hawa wanashabikia vibaka wenzao humu.

Namuunga mkono Makongoro juu ya onyo lake la "enyi vibaka waachie chama chao, wakulima na wafanyakazi". Kwa jadi vibaka sehemu yao haikuwahi kuwa CCM, wamevamia tu na sasa wanataka kujimilikisha!!

Namshukuru Lusinde mdogo hakubaki nyuma.Nakubaliana na Lusinde mdogo
.............................................................................................................................................................................
Livingstone Lusinde

22 hrs ·

Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa, mimi kama mwana CCM katu siwezi kusimama jukwaani au vikao vya ndani ya chama kumpigia upatu mtu mwenye matope matope, mtu ambae si msafi, mtu ambae yahitaji nguvu kubwa kumsafisha ili awe MWEUPE mbele ya Umma wa Watanzania. Na endapo mtu huyo atasimamishwa na chama changu nitakuwa mstari wa Mbele kuwashawishi wananchi wa Jimbo langu na kokote nitakapopita wasimpigie KURA.

Hatuwezi kuendelea kuitwa Wana CCM huku hatuishi kwenye misingi ya ki CCM.
............................................................................................................................................................................

Nawe, je! Wafumbua macho yako kumwangalia mtu kama yeye, Na kunitia katika hukumu pamoja nawe? Ni nani awezaye kutoa kitu kilicho safi kitoke katika kitu kichafu? Hapana awezaye. Ayu 14: 3-4
 
Karibia wazee wote wa CCM wanamuunga mkono Lowassa, ni wazi kumzuia huyu mtu haiwezekani..... Asante Balozi Lusinde kwa kuungana na wananchi katika safari yao ya matumaini

Tusiwajazie maneno midomoni mwao. Ngojeeni muone baada ya kupigwa chini kwenye orodha ya mwanzo tu muwasikie watakavyo mgeuka
 
ocampo four

Job Lusinde alikuwepo kwenye msafara wa Pinda akichukua form, Source Habari leo 14.06.2015, inawezekana amuunge mkono Lowasa halafu amsindikize mgombea mwingine?!

Mleta mada unauhakika na source yako?
 
Last edited by a moderator:
Ukiwaona wana CCM wengi humu wanashabikia vibaka hiyo ni dalili ya wazi ya yale aliyoyasema Makongoro Nyerer kuwa kuna vibaka wamevamia chama cha Mapinduzi, wengine wao ndio hawa wanashabikia vibaka wenzao humu.

Namuunga mkono Makongoro juu ya onyo lake la "enyi vibaka waachie chama chao, wakulima na wafanyakazi". Kwa jadi vibaka sehemu yao haikuwahi kuwa CCM, wamevamia tu na sasa wanataka kujimilikisha!!

Namshukuru Lusinde mdogo hakubaki nyuma.Nakubaliana na Lusinde mdogo
.............................................................................................................................................................................
Livingstone Lusinde

22 hrs ·

Nchi inaangamia kwa kukosa maarifa, mimi kama mwana CCM katu siwezi kusimama jukwaani au vikao vya ndani ya chama kumpigia upatu mtu mwenye matope matope, mtu ambae si msafi, mtu ambae yahitaji nguvu kubwa kumsafisha ili awe MWEUPE mbele ya Umma wa Watanzania. Na endapo mtu huyo atasimamishwa na chama changu nitakuwa mstari wa Mbele kuwashawishi wananchi wa Jimbo langu na kokote nitakapopita wasimpigie KURA.

Hatuwezi kuendelea kuitwa Wana CCM huku hatuishi kwenye misingi ya ki CCM.
............................................................................................................................................................................

Kuna watu wana akili ndogo hapa duniani ila wewe ni mojawao... Umeambiwa kabisa ni Balozi Lusinde then unasema ni Lusinde kibajaji....
 
Karibia wazee wote wa CCM wanamuunga mkono Lowassa, ni wazi kumzuia huyu mtu haiwezekani..... Asante Balozi Lusinde kwa kuungana na wananchi katika safari yao ya matumaini
Agwambo,
Acha kutumia maneno ya jumla jumla, ni wananchi wepi unao wazungumzia? Mimi ni sehemu ya mwananchi na sijajiunga pia sina mpango wa kujiunga na safari yenu ya matumaini hewa ambayo yamkini yakaishia njiani hata kama team EL itatoa vijishukrani sana.

Hivi mtatoa matumaini kiasi cha kumzidi mh. rof, Dk JMK 2005? Yamebaki historia..... midanganyika nayo ilivyokuwa na akiri sawa na kuku imesha sahau.

Pilau njema!
 
Last edited by a moderator:
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Karibia wazee wote wa CCM wanamuunga mkono Lowassa, ni wazi kumzuia huyu mtu haiwezekani..... Asante Balozi Lusinde kwa kuungana na wananchi katika safari yao ya matumaini

Wazeee!! Vijana wanasemaje?
Huyo Lusinde ana umri gani? Naogopa tusisumbuliwe na watu wanaotaka kufa vizuri. Sisi tunataka tuishi vizuri!
 
Job Lusinde alikuwepo kwenye msafara wa Pinda akichukua form, Source Habari leo 14.06.2015, inawezekana amuunge mkono Lowasa halafu amsindikize mgombea mwingine?!

Mleta mada unauhakika na source yako?

NI mzee anayetafuta kufa kwa amani! walizoea unafiki.
 
Back
Top Bottom