Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

Balozi Lusinde: Lowassa Safi na Anatosha

Balozi Lusinde juzi alikua pamoja na Pinda Dodoma wakati akichukua fomu ya urais. Hivyo tunajua tayari Lusinde yupo na Pinda.

Mleta mada njaa zako za kuongwa pesa za kununulia boxer zitakuahibisha sana pindi jina la huyo ATM wenu litakavyo galagazwa.
mkuu..hiyo habari iko katika gazeti la jambo leo....usiweweseke,..tulia umalizie dozi
 
LUSINDE😛ROF MUHONGO NI SAFI.Balozi Job Lusinde ambaye ni miongon mwa waasisi wa chama cha mapinduz ,amesema Prof Muhongo ni mtu safi ,anayefaa kuwa Rais wa nchi hii.Akiongea na Jambo leo ,Balozi huyo mkongwe wa chama cha mapinduz amesema Prof Muhongo ni mchapa kazi na mwadilifu sana .Amesema kuna watu wanapita maeneo mbalimbali wakiwa na lengo la kumchafua ,lakin wameshindwa kuwa na hoja kuwa Muhongo alifanya nn kibaya.Aliongeza kuwa mambo haya ya kuwachafua watu wanaoonekana wahadlilifu yalikuwepo toka siku za nyuma lakin mwishowe ,anakuja kuwa Rais.
 
Mapenzi yako binafsi na Lowassa yana affect your judgements toa facts sio matusi bob.
For the record mm n mtanziania asilia
 
Je ile dhana kuwa ni zamu ya Zanzibar ipo?

Je kwenye mawazo ya Wakristo.... Ni zamu ya Mkristo.... Ina madhara yeyote katika uteuzi kwa CCM na UKAWA?

Tunaomba wachambuzi wa mambo waseme hapa.... Uchambuzi tafadhali wa kitaalamu..

Comment mstari mmoja ama 2 haisaidii kupanua mjadala..

Hivi kwa akili zako unadhani uchambuzi gani wa maana utatolewa hapa? Sijui umekula maharage gani wewe yaani unaita watu wenye akili zao waje wachambue mgombea kwa kigezo cha dini na ukanda? Nyang'au kabisa.
 
Karibia wazee wote wa CCM wanamuunga mkono Lowassa, ni wazi kumzuia huyu mtu haiwezekani..... Asante Balozi Lusinde kwa kuungana na wananchi katika safari yao ya matumaini

huyu fisadi na vibaraka wake mnaishi kwa ngonjera.Firauni lowasa uliiba na unaendelea kuunda magenge ya mafisadi.Uraisi hapana nenda hospitali utibiwe
 
Huyu mzee naye kazeeka vibaya sana, sasa kama Lowasa aliweza kuvunja mkataba wa city water alishindwa vipi kuvunja mkataba wa kitapeli uliokuwa uchi kabisa wa richmond?
 
Mapenzi yako binafsi na Lowassa yana affect your judgements toa facts sio matusi bob.
For the record mm n mtanziania asilia
Mtanzania halisi hujui kiswahili inatia shaka wahi wizara ya mambo ya ndani ukathibitishwe
 
Hahahaha Makongoro kweli kuna vichaa hapa duniani......

Magufuli ukimuliza hata Mkt wa Ccm mkoa wa Mara hamjui, mtu kama huyo hatuwezi kumpa chama Mkuu

Kwani rais majukumu yake makuu ni kuongoza Chama au nchi??
 
Irrelevant back to the topic
Jifunze kujenga hoja nasio kulopoka lopoka tu mzeee
Unajitafutia matatizo wewe dada tanzania neno KULOPOKALOPOKA halipo ktk kamusi.hiyo kamusi unayotumia ni ya burundi.kaa kimya usijetafutwa ukarudishwa kwa nkurunziza utakula mafiako.
 
Watu wengine wangese kweli kweli.
Si kwa vile uliwapa ndo maana umewajua.hebu tuelezee zaidi maana huku kwetu wako wengi na vipaji tofauti tukuletee njemba maana uliyenae hakutoshi.hahhaaaaa shaba kweli wewe.
 
Wengi mnatuambia wingi wa wagombea CCM ni demokrasia na kipimo cha uroho wa madaraka ni kipi? Kuacha kuomba urais kwa kuzingatia unyeti wa nafasi ni demokrasia zaidi
 
Karibia wazee wote wa CCM wanamuunga mkono Lowassa, ni wazi kumzuia huyu mtu haiwezekani..... Asante Balozi Lusinde kwa kuungana na wananchi katika safari yao ya matumaini

Nchi hii sio ya wazee wa ccm ndugu
 
Back
Top Bottom