Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Magamba wanayo kazi ya ziada mwaka huu
Tumuamini nani kati ya Lusinde na Nyerere?
Nyerere ni mfu, labda kama unazungumzia mizimuTumuamini nani kati ya Lusinde na Nyerere?
Huyu mzee ana akili kama za yule Kibajaji hivyo asikupe shida.
Balozi Lusinde juzi alikua pamoja na Pinda Dodoma wakati akichukua fomu ya urais. Hivyo tunajua tayari Lusinde yupo na Pinda.
Mleta mada njaa zako za kuongwa pesa za kununulia boxer zitakuahibisha sana pindi jina la huyo ATM wenu litakavyo galagazwa.
Hahahaha Makongoro kweli kuna vichaa hapa duniani......
Magufuli ukimuliza hata Mkt wa Ccm mkoa wa Mara hamjui, mtu kama huyo hatuwezi kumpa chama Mkuu
Tumuamini nani kati ya Lusinde na Nyerere?
Mna kiherehere cha nini edo hawezi kuweka hadharani kwa sasa maana dili lilikuwa la baba r sasa itakuwa kumdhalilisha na yeye anawezampeleka mabwe pande.si unajua koleo na bisibisi.Ni kweli kabisa Lowassa ni mchapa kazi lakin kama hakuhusika na scandal ya Richmond mbona haweki wazi?
Balozi Lusinde juzi alikua pamoja na Pinda Dodoma wakati akichukua fomu ya urais. Hivyo tunajua tayari Lusinde yupo na Pinda.
Mleta mada njaa zako za kuongwa pesa za kununulia boxer zitakuahibisha sana pindi jina la huyo ATM wenu litakavyo galagazwa.
Nyerere ni mfu, labda kama unazungumzia mizimu
Balozi Lusinde amekua msemaji wa Lowassa? Lowassa yeye mwenyewe hawezi kemea rushwa hata dakika moja,uadilifu wa Lowassa ni upi kama sio Kumpamba Fisadi sifa asizo nazo
Mna kiherehere cha nini edo hawezi kuweka hadharani kwa sasa maana dili lilikuwa la baba r sasa itakuwa kumdhalilisha na yeye anawezampeleka mabwe pande.si unajua koleo na bisibisi.
Mwaka huu timu membe lazima wakufe
We ni utumbo wa nyoka mleta mada kaweka source wewe unabisha tukuelewe mumeo hajakupa sakramenti usiku au?
Hahahaaa hayo maneno ya vijiweni tushayazoea kuyasikia.
Remind you interview yake kabla hajafanya mkutano wake wa kutangaza nia arusha alisema atazungumzia hiyo issue what stopped him?
Kama anataka kuwa raisi amilijeshi mkuu then anaogopa kusimamia ukweli hafai.