tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,955
Kwa jinsi walivyomlinda yule MWANAHARAKATI HURU [ Musiba] wa Magufuli akitukana watu hovyo kwa kutumia media hiyo hiyo anayotumia Polepole,TCRA hawana moral authority ya kumfutia leseni Polepole !! Hii ni wazi kuwa serikali inatumiwa na ccm kutaka kumthibiti Polepole ; wameisha ona kuwa ccm kumuadhibu kwa hayo wanayoyaita makosa ya uchochezi hayana ushahidi na yanaweza kukiweka chama tawala mahala pabaya. Polepole kama tujuavyo sio mwanachama wa kawaida bali alikuwa kiongozi aliyekijua chama kwa undani akiwa katibu mwenezi hivyo hatua zozote zitakazochukuliwa dhidi yake ni lazima zitafakaliwe kwa kina!!
Polepole hana madhara yoyote hata akichukuliwa hatua ya kufukuzwa chamani
Mbele ya Magufuli waliufyata kina JK, Kinana, Yusuph Makamba Sembuse huyu Polepole mtoto wa juzi tu chamani
CCM ni taasisi, ni chama kikubwa kuliko mtu yoyote na kinaogopeka kwasbb kinahodhi dola na pía Mwenyekiti wake ana mamlaka na madaraka makubwa ktk nchi, hvyo hakuna wakufurukuta