..hiki Kitabu kinapatikana wapi?
Huyo alikuwa marehemu kaka yake Bakari Mwapachu!Nahisi pia amewahi kuwa Waziri wa katiba na Sheria.
So long my brother and friend. Rest in eternal peace.
Nililetewa zawadi na mdogo wangu. Kinapatikana Dar bookshop ya TPH hapo Samora Avenue karibu na Askari Monument...hiki Kitabu kinapatikana wapi?
Try to learn the history of the Tanganyika independence struggle ; then you will understand the contribution of the Mwapachu family.Akina Mwapachu Brothers wameifaidi sana hii nchi sio siri
Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa wote
Mshua alikuwa akija nyumbani akikalia kochi, akiondoka siku nzima kochi linanukia cologne yake.Akina Mwapachu Brothers wameifaidi sana hii nchi sio siri
Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa wote
Yule alikuwa kaka ake. Waziri wa usalama nadhanNahisi pia amewahi kuwa Waziri wa katiba na Sheria.
Nilipata kumjua mama yao mzazi....nikiwa mdogo kabisa naye alikuwa ni kikongwe haswa na mwenye kujipenda mno...alikuwa ni half- caste wa kijerumani....Mshua alikuwa akija nyumbani akikalia kochi, akiondoka siku nzima kochi linanukia cologne yake.
Akikukuta unasoma Newsweek anakwambia "You get the most from The Economist, not Newsweek or Time Magazine..."
Sio huyo . Ni marehemu Bakari Mwapachu ndie alikuwa waziri washeria na katibaNahisi pia amewahi kuwa Waziri wa katiba na Sheria.
Kwake ukienda ni mavitabu, mtu wa kusomasoma sana
Utanioitia na gar yako mkuuNtaenda
Ova