TANZIA Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

Niliwah kukaa naye na kumsikiliza mawazo yake, kwa hakika alikuwa na matamanio ya kuiona Tanzania iliyo na wananchi matajiri. 😞 R.I.P mzalendo wa kweli. Daima tutakukumbuka na kuyaenzi mema yote uliyoyatenda wakati wa uhai wako.
Mojawapo ya mema yako nnayoyakumbuka ni pale ulipojitolea kusomesha na kutoa mitaji kwa vijana zaidi ya 1000 wa kitanzania. Pumzika shujaa wetu.
Daah....

Mzee alikuwa na maono bora ya Tanzania iliyo bora....

#JMT milele dumu !
 
20250328_175026.jpg

RIP Balozi Mwapachu.
 
Salamu za pole kwa familia ya Mwapachu, moja ya familia yenye nyota njema kwa wana Tanga na Chumbageni/Changa...

Watu maarufu wa maeneo yale naona wengi wamerudi kwa muumba Bakari, Gadner Habash na sasa Juma, sijui kama mzee Mukebezi atakuwa naye hai?
 
Daah umenikumbusha G.Habash kaka yake Aaron ...

Mzee Mukebezi ni yule aliyekuwa na kijana wake mchezaji mpira wa Yanga ?!!
 
Salamu za pole kwa familia ya Mwapachu, moja ya familia yenye nyota njema kwa wana Tanga na Chumbageni/Changa...

Watu maarufu wa maeneo yale naona wengi wamerudi kwa muumba Bakari, Gadner Habash na sasa Juma, sijui kama mzee Mukebezi atakuwa naye hai?
RIP Mwapachu.

JUuma Mwapachu "alitoka" Mwanza.
 
RIP Mwapachu.

JUuma Mwapachu "alitoka" Mwanza.

Miaka yote nimekuwa nikiamini ni mdogo wa Bakari, maana mji wa kina Mwapachu uliachwa ukiwa na mama Mwapachu ambaye naye ni marehemu...

Rangi ya Juma inafanana na ushombeshombe wa marehemu mama Mwapachu, hivyo nilikuwa naamini ana undugu na Bakari marehemu...
 
Nilitania tu; sijui asili yake ni wapi kwani majina ya Mwapachu unaweza kukuta ni ya Mbeya; ila Juma alizaliwa Mwanza. Sasa sijui wazazi wake walitokea wapi.
 
Back
Top Bottom