Niamini mm mkuu 😎Huna hata 30.yrs ati ulisoma naye primary
Hivi huyu ni ndugu na Bakari Mwapachu?Niliwah kukaa naye na kumsikiliza mawazo yake, kwa hakika alikuwa na matamanio ya kuiona Tanzania iliyo na wananchi matajiri. 😞 R.I.P mzalendo wa kweli. Daima tutakukumbuka na kuyaenzi mema yote uliyoyatenda wakati wa uhai wako.
Mojawapo ya mema yako nnayoyakumbuka ni pale ulipojitolea kusomesha na kutoa mitaji kwa vijana zaidi ya 1000 wa kitanzania. Pumzika shujaa wetu.
Huyu huku daslamu ni R.I.P comrade.Ndiye nani huko daslamu🚶♂️🚶♂️
Class mate wako ama kweli jf Ina vikongweRIP classmate 😭
Hamna adabu tu ; humu JF wamo Baba zenu pamoja na Babu zenu ! Mnafikiri kuwa kila mtu humu ni generation Z?Class mate wako ama kweli jf Ina vikongwe
Duuh ha ha ha ha ha !Shule ya msingi 😎
Inasikitisha sana mkuu 😎Duuh ha ha ha ha ha !
Ha ha haHuna hata 30.yrs ati ulisoma naye primary
Team mwendazake ipo?Timu Lowassa inazidi kupukutika.
Ilimpitia kaka yake Harith BakariWimbi la korona halikumpitia time ile aisee
Tusubiri kuona ngeli kutoka kwa watoto wao, wasomapo risala.
RIP babuu.
Ipo,Team mwendazake ipo?
Ha ha haS
Somesheni watoto sio lazima kuongea kiswahili msibani
Hawana effect hapIpo,
Gavana wa chuga, polepole, Bashiru n.k
Basi sawaS
Somesheni watoto sio lazima kuongea kiswahili msibani