Balimi Lager yaendelea kufanya mauzo ya kufuru DSM

Balimi Lager yaendelea kufanya mauzo ya kufuru DSM

Hali mbaya bia 2500 ukiwa 10000 unakunywa nne wakati balimi 1500 unakunywa sita na unabaki na buku la fegi
😀😀😀😀😀 mi nimepumzika kabisa kuzinywa maana naona zimenisababisha kwa miez miwili nimekata kilo 5 hahaha nikibugia ni kulala tu naona uvivu kuamka kupika

daah ngoja niongeze shavu kwanza ,kwakweli haalfu ni tamu ukiwa unakunywa wala hujiskii kulewa lakini zikikolea unazima


balimi.jpg
 
Balimi ni bia nzuri nishaionja!licha mimi ni mdau mkubwa wa safari lager....
Kikubwa tu watu wengi wamehamia kwenye balimi kwa sababu ya bei yake kuwa nafuu pia.

Ova
Na mimi ni mpenzi wa balimi pia, bia tamu halafu bei rahisi[emoji23]
 
umaskini wa fikra ni umaskini wa hali ya juu kuliko umaskini wa fedha na mali
utajiju... balimi imetengenezwa kwanyie maskini mliokua mnakunywa viroba. balimi nimkombozi wenu. hahaha
 
Back
Top Bottom