Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,311
- 12,200
Kule unapata Balimi, Senator, Kibo yani bia flan ivv..Hata moto yao wanakwambia
"Balimi Bia yetu, Kanda yetu"
Mangosha wanaibugia kwelikweli
Kama unavozipata Banana/Raha upande wa Arusha na Moshi..
Kule unapata Balimi, Senator, Kibo yani bia flan ivv..Hata moto yao wanakwambia
"Balimi Bia yetu, Kanda yetu"
Mangosha wanaibugia kwelikweli
lazima mie siku hizi sijui bia nyinguine nikiwa na darling tu ndo najikausha lakini mitaani ni balimi............Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Itabidi tbl wajipange mkuuKumbe watu wana hela hadi za bia??
Sasa mbona nyumbu kila siku wanalialia hamna hela??
Lazima ije juu, wasukuma wengi wamehamia DarAisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Hii bia ilikuwa inanywewa na wakulima wa kanda ya ziwa tu lakini baada ya makufuri kuharibu uchumi imebidi wanywaji wote waigeukie...hakuna jinsi.Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Mkuu umeionja? Ni kali?Naiona ni bia ya ajabu kweli kweli, hata wanywaji wake wengi hawaeleweki, wengi wao ni wale waliokuwa wanywa viroba!
Sijawahi...Mkuu umeionja? Ni kali?
Mmmh bingwa ilikua kama gongoBALIMI ni small army, big power! Ile kitu nadhani ina alchohol nyingi zaidi... Its more than 5%... Pia zamani kulikuwaga na bia ya Bingwa! Nadhani ikirudi sokoni sasa hivi itabamba sana...