cheze
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 501
- 330
Balimi extra larger ya muda kanda ya ziwa. Fahari ya kanda ya ziwa, bia ya mkulima.
Nilikuwa siikosi kila nikiingia lake zone lazima nikamate kama chupa tano hivi itakuwa na alcohol ya 6.5%v/v hangover yake ni hatari niliwahi rudisha chenchi sito sahau baada ya kuitwanga mitaa ya malimbe.