WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,352
bia za maskini hizo
Maskini anatoka mkoa gani
bia za maskini hizo
Uku nilipo Balimi ni Ali maarufu Kwa Jina La Faru John.
Balimi znapoteza kumbukumbu pia ukiamka umechoka..Serengeti ndo mpango
Wakulima.Balimi ndo nini ?
Hamweleweki watu wa kanda hizo, bashite ni kielelezo tosha!Kuwa na adabu ina maana kanda ya ziwa wote ni tulikuwa wanywa viroba
Balimi Extra Lager
Bia yangu
kanda yangu
Sisi kanda ya ziwa watu wetu ni mfano Gwajima Hao wengine unaowazungumzia sijui wana GENES za wapi?Hamweleweki watu wa kanda hizo, bashite ni kielelezo tosha!
Acha uongo Serena hawauzi hiyo Bia ya Balimi.Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Ni beer ya lowest class kama mm.Mkuu wanywa Balimi Lager ndo walikuwa wanywa Viroba maarufu.
Mdau bia ya balimi ipo sokoni zaidi ya miaka 20 sasa, asili yake ni sherehe ya nane nane hivyo ikitengenezwa kama bia ajiri ya wakulima na ilikuwa inazalishwa na kiwanda cha TBL Mwanza tu hivyo TBL waliamua ifanya bia bia ya kanda ya ziwa hivyo soko lake lilikuwa mikoa ya Mwanza, shinyanga, Tabora, kigoma, Bukoba, na musomaAisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Balimi soko kubwa lilikua upande wa kanda ya ziwa mpaka pale Mh. January Makamba alipofanya wonders😀😀😀Ila kwa kumbukumbu zangu hii Bia iliingia kabla ya kufungiwa kwa Viroba na Still ilionekana kufanya Vyema
Balimi haina tofauti na Banana ya ArushaNaiona ni bia ya ajabu kweli kweli, hata wanywaji wake wengi hawaeleweki, wengi wao ni wale waliokuwa wanywa viroba!
Hata moto yao wanakwambiaBalimi soko kubwa lilikua upande wa kanda ya ziwa mpaka pale Mh. January Makamba alipofanya wonders😀😀😀