ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Ilianza kabla ya marufuku mbona hamsemi bia za "Ukawa" kama ndio replacement.
" Ukawa ni Pilsner na Eagle"
" Ukawa ni Pilsner na Eagle"
baba ake mdogo raphael wa urenoBalimi ndo nini ?
Kuwa na adabu ina maana kanda ya ziwa wote ni tulikuwa wanywa virobaNaiona ni bia ya ajabu kweli kweli, hata wanywaji wake wengi hawaeleweki, wengi wao ni wale waliokuwa wanywa viroba!
Masikini ndio kabila gani?bia za maskini hizo
kiwanda chake kipo mkoa gani? kipo kimoja au vipo viwanda kadhaa kwenye baadhi ya mikoa?Aisee niwapongeze sana uwongozi mzima wa kinywaji cha Balami lager , Sijui walikua wpi mda Wote , ila Kila Nikipita Balami ni kati ya Bia zinazonyweka kwa wingi sana kiasi cha wauzaji kukuambia Hawajawahi uza Bia kwa speed kama Ilivyo Balami..
Sijawahi ijua Ladha yake , ila najiuliza Imependwa kutokana na Ubora ? Bei ? Ama changamoto ya kukosa Mbadala kwa wanywaji Baada ya Pombe za makaratsi kufungiwa .
Maajabu ya Bia hii inauzwa kwnye Bar zote hadi baadhi ya Hotel Kubwa , Nna uhakika Huwezi Kosa Balami Serena.
Hongereni sana Balimi kwa Mauzo Makubaa, Hongera TRA kwa kupata Kodi .
Ipo chini ya TBLkiwanda chake kipo mkoa gani? kipo kimoja au vipo viwanda kadhaa kwenye baadhi ya mikoa?
Aisee...Ngoja wanaume wa Dar wasikieBalimi zinaongeza nguvu za kiume ndio mana zinapendwa...
mtasubiri sana mpaka mwaka 2025 tutakapoachia nchi. hii bia ni ya kisukuma siku nyingi tulikuwa tunaipiga huku kanda ya ziwa. sasa si tumehamia mjini tumehama nayo tunaigonga kwa raha zetuNgoja nisubiri tamko la kuzipiga marufuku!
Balimi ndo nini ?
Tuambie Wee bia unazo kunywa za kitajiribia za maskini hizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]15000/= kwa kreti au bia moja?
Ni kwa malipo ya fedha halali za Tanzania?