Balimi extra lager

Wanaume wa dar hamuwezi hzo mtaaibika.. Mmezoea vile vya kijani vinauzwa 3000 kimoja ..
Nawaona watu hapa kwetu pazuri wanavinywa
hahaha mi sio wa dar mkuu...
mi hizo hua sishibi mpaka valeur,k vant au nyagi
 
Pombe gani haina stimu,nmeijaribu hyo pombe one day nikapiga chupa km 4 hivi hata sikulewa kabisa,mm kwang bora pilsener lager ina stimu ya fasta
 
Back
Top Bottom