Nakandamiza Kibara
Senior Member
- Jul 17, 2007
- 143
- 10
Balile mimi nimeamua kukutaka uje hapa uyapinge baada ya kuona mijadala mingi inazuka na huku Rostam anasema mtaani kwamba ni matunda ya kijana wake ambaye alimpeleka UK kusoma .Una haki ya kuandika habari hata kama si sahihi ili uujue ukweli lakini unajidhalilisha kwa habari zako za uongo kukidhin madhitaji ya bwana wako Rostam na wana mtandao.Mimi nataka kukumbusha machache tu na uone kama kweli hata Rostam na mtandao wanaweza kukuamini ama utakuwa muhuni kama ulivyo sasa?
Balile uliamua kuka kwa Mbowe na kula kwa wanamtandao lakini Mbowe trusted you kama Mhariri na huwezi kusimama hapa na kusema kwamba alikuwa anakuingilia na Mbowe haingii News Room kama Rostam usema hii poa na hii si poa ondoa.Kumbuka ulikuwa umefukuzwa kazi toka Mwananchi ambako ulikiwa mwandishi tu.Kilam ulikaidi amri ya kukataliwa ruhusa ya kwenda Cairo na Lowasa .Wana habari walialikwa nawe ukiwa mmojawapo unanyimwa ruhusa uliporudi ukafukuzwa kazi .
Mbowe alikuokota una sota na akakutaka muanze kazi wote na kukufanya Mhariri . Ni mbowe huyu huyu aliye kujengea confidence kwa kukuamini mimi na kazi na mali zake ukawa mtu lakini ulitumia gazeti lake kummaliza wakati anagombea mwaka 2005 na bado yeye haujali .Kama unabisha juu ya wewe kufutwa kazi njoo useme haya .
Ni Mbowe alikupeleka Veta kujifunza kuendesha gari na akakupa gari ili uchape kazi lakini kwa kuwa akili yako haina akili ulikuwa una muuza lakini pamoja na watu kumwambia Mbowe hakuamini kama wewe ulikuwa nyoka mmbaya .
Kwa haya machache nakuuliza wewe Balile na kuwajulisha hao akina Rostam wewe ni mtu wa aina gani na kwa kuwa wee utu si kitu bali pesa je siku wataishiwa ama akaja mtu na dau akakununua is utajivua akili kama ambayo tuna shuhudia sasa kwanza kwa Lowasa na sasa Mbowe na wana habari wenzio wanakukumbia .Unakumbuka tukio la juzi walivyo kuacha baada ya wewe kuingia ?
Balile ama wapambe waje wajibu nizidi kumwaga nondo hapa .
RUBBISH ! Should the clintons say the same thing to Bill Richardson for endorsing Barack Obama (baada ya bill richardson kufanyiwa favors nyingi na bill clinton)? Hii ni kuhusu wapi kuna real issues na sio sijui nani alimpeleka mwenzake veta, sijui nani alilala na kula wapi ! huo ni UMBEA.
Mbona hawasemi MBOWE KUVUNJA NDO ZA WATU, KULALA NA WANAWAKE WA WATU ? Anyway, tusiende huko ! Lakin hii ni rubbish !
Balile mimi nimeamua kukutaka uje hapa uyapinge baada ya kuona mijadala mingi inazuka na huku Rostam anasema mtaani kwamba ni matunda ya kijana wake ambaye alimpeleka UK kusoma .Una haki ya kuandika habari hata kama si sahihi ili uujue ukweli lakini unajidhalilisha kwa habari zako za uongo kukidhin madhitaji ya bwana wako Rostam na wana mtandao.Mimi nataka kukumbusha machache tu na uone kama kweli hata Rostam na mtandao wanaweza kukuamini ama utakuwa muhuni kama ulivyo sasa?
Balile uliamua kuka kwa Mbowe na kula kwa wanamtandao lakini Mbowe trusted you kama Mhariri na huwezi kusimama hapa na kusema kwamba alikuwa anakuingilia na Mbowe haingii News Room kama Rostam usema hii poa na hii si poa ondoa.Kumbuka ulikuwa umefukuzwa kazi toka Mwananchi ambako ulikiwa mwandishi tu.Kilam ulikaidi amri ya kukataliwa ruhusa ya kwenda Cairo na Lowasa .Wana habari walialikwa nawe ukiwa mmojawapo unanyimwa ruhusa uliporudi ukafukuzwa kazi .
Mbowe alikuokota una sota na akakutaka muanze kazi wote na kukufanya Mhariri . Ni mbowe huyu huyu aliye kujengea confidence kwa kukuamini mimi na kazi na mali zake ukawa mtu lakini ulitumia gazeti lake kummaliza wakati anagombea mwaka 2005 na bado yeye haujali .Kama unabisha juu ya wewe kufutwa kazi njoo useme haya .
Ni Mbowe alikupeleka Veta kujifunza kuendesha gari na akakupa gari ili uchape kazi lakini kwa kuwa akili yako haina akili ulikuwa una muuza lakini pamoja na watu kumwambia Mbowe hakuamini kama wewe ulikuwa nyoka mmbaya .
Kwa haya machache nakuuliza wewe Balile na kuwajulisha hao akina Rostam wewe ni mtu wa aina gani na kwa kuwa wee utu si kitu bali pesa je siku wataishiwa ama akaja mtu na dau akakununua is utajivua akili kama ambayo tuna shuhudia sasa kwanza kwa Lowasa na sasa Mbowe na wana habari wenzio wanakukumbia .Unakumbuka tukio la juzi walivyo kuacha baada ya wewe kuingia ?
Balile ama wapambe waje wajibu nizidi kumwaga nondo hapa .
Kijibaraka cha Mafisadi, hata haya huna? unasherekea nchi kuwa maskini, kweli wewe Fisadi kabisa, iko siku yako
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
Hizi lugha za matusi kama hizi jamani ziachwe kwani zinaharibu hadhi ya JF. Kada what happened to you! lugha hizi hazijengi bali zinabomoa nchi, JF, na wewe mwenyewe. Tafadhali usitafute sababu ya kufungiwa. Pleaaase.
Unaonyesha tu kuwa uwezo wako wa kufikilia umekaa kifisadi tu, kwani umeambiwa nchi ikiwa maskini wanaotaabika ni wale wanaolipwa tu? Fisadi vipi, tumia akili kidogo tu kupambanua mambo bwana, hata hizo mnazofisadi hazitatumika, labda muame nchi, Fisadi we!
Kuwatambua mafisadi ni kazi nyepesi tu, kwani si mnajulikana tu, kwani wewe hunioni kama Fisadi? Kadampinzani vipi bwana, hiyo ndo status yako na wenzio unaowateteaga hapa JF, akina EL, RA na Mafisadi wengine wengi tu
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
Kada, ulipwe usilipwe, huna sababu ya kuja hapa kudiriki kuchafua akili za watu. kama hujalipwa na bado unawashabikia mafisadi na kuwatetea kiasi hiki cha kushindwa hata kufikiri, ingekuwaje ungelipwa? au ndiwe balile anayesemwa hapa? unajiaibisha bure hapa na chuki zako kwa mbowe. jinyonge basi tujue we mwanaume!
Tumia busara zako, Fisadi we!!!!
si useme tu easter hii umetoswa na watoto ?? nenda club dogo !
kutoswa na watoto jumlisha na hasira zako za balile, yaani full kujinyonga mwanangu !

Kada
Tafadhali sana nakuomba sasa leave my topic to be discussed. Sizimiii wewe kuendelea kupotosha maana ya mada yangu.Please get hands off .Fungua mada yako ya ubishi uendelee .Wana JF naomba turudi kwente mada yenyewe .