Balile can you be trusted baada ya kumzunguka Mbowe ?

Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
0
Balile mimi nimeamua kukutaka uje hapa uyapinge baada ya kuona mijadala mingi inazuka na huku Rostam anasema mtaani kwamba ni matunda ya kijana wake ambaye alimpeleka UK kusoma .Una haki ya kuandika habari hata kama si sahihi ili uujue ukweli lakini unajidhalilisha kwa habari zako za uongo kukidhin madhitaji ya bwana wako Rostam na wana mtandao.Mimi nataka kukumbusha machache tu na uone kama kweli hata Rostam na mtandao wanaweza kukuamini ama utakuwa muhuni kama ulivyo sasa?

Balile uliamua kuka kwa Mbowe na kula kwa wanamtandao lakini Mbowe trusted you kama Mhariri na huwezi kusimama hapa na kusema kwamba alikuwa anakuingilia na Mbowe haingii News Room kama Rostam usema hii poa na hii si poa ondoa.Kumbuka ulikuwa umefukuzwa kazi toka Mwananchi ambako ulikiwa mwandishi tu.Kilam ulikaidi amri ya kukataliwa ruhusa ya kwenda Cairo na Lowasa .Wana habari walialikwa nawe ukiwa mmojawapo unanyimwa ruhusa uliporudi ukafukuzwa kazi .

Mbowe alikuokota una sota na akakutaka muanze kazi wote na kukufanya Mhariri . Ni mbowe huyu huyu aliye kujengea confidence kwa kukuamini mimi na kazi na mali zake ukawa mtu lakini ulitumia gazeti lake kummaliza wakati anagombea mwaka 2005 na bado yeye haujali .Kama unabisha juu ya wewe kufutwa kazi njoo useme haya .

Ni Mbowe alikupeleka Veta kujifunza kuendesha gari na akakupa gari ili uchape kazi lakini kwa kuwa akili yako haina akili ulikuwa una muuza lakini pamoja na watu kumwambia Mbowe hakuamini kama wewe ulikuwa nyoka mmbaya .

Kwa haya machache nakuuliza wewe Balile na kuwajulisha hao akina Rostam wewe ni mtu wa aina gani na kwa kuwa wee utu si kitu bali pesa je siku wataishiwa ama akaja mtu na dau akakununua is utajivua akili kama ambayo tuna shuhudia sasa kwanza kwa Lowasa na sasa Mbowe na wana habari wenzio wanakukumbia .Unakumbuka tukio la juzi walivyo kuacha baada ya wewe kuingia ?

Balile ama wapambe waje wajibu nizidi kumwaga nondo hapa .
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748

RUBBISH ! Should the clintons say the same thing to Bill Richardson for endorsing Barack Obama (baada ya bill richardson kufanyiwa favors nyingi na bill clinton)? Hii ni kuhusu wapi kuna real issues na sio sijui nani alimpeleka mwenzake veta, sijui nani alilala na kula wapi ! huo ni UMBEA.

Mbona hawasemi MBOWE KUVUNJA NDO ZA WATU, KULALA NA WANAWAKE WA WATU ? Anyway, tusiende huko ! Lakin hii ni rubbish !
 
Kada mie sina tabia ya kutumia matusi .Ukisema rubbish means mimi ndiye natema hizi rubbish .I can do like what you are doing lakini am above that .Najua huwezi kusoma na kuelewa hapa hatuongelei favours rudia kusoma na si lazima uchangie kama huna la kusema ama hujaelewa .Lugha yako naweza kuitumia na ilawa shida so please respect .Ikikuudhi iache nenda zako .
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Balile mimi nimeamua kukutaka uje hapa uyapinge baada ya kuona mijadala mingi inazuka na huku Rostam anasema mtaani kwamba ni matunda ya kijana wake ambaye alimpeleka UK kusoma .Una haki ya kuandika habari hata kama si sahihi ili uujue ukweli lakini unajidhalilisha kwa habari zako za uongo kukidhin madhitaji ya bwana wako Rostam na wana mtandao.Mimi nataka kukumbusha machache tu na uone kama kweli hata Rostam na mtandao wanaweza kukuamini ama utakuwa muhuni kama ulivyo sasa?

Balile uliamua kuka kwa Mbowe na kula kwa wanamtandao lakini Mbowe trusted you kama Mhariri na huwezi kusimama hapa na kusema kwamba alikuwa anakuingilia na Mbowe haingii News Room kama Rostam usema hii poa na hii si poa ondoa.Kumbuka ulikuwa umefukuzwa kazi toka Mwananchi ambako ulikiwa mwandishi tu.Kilam ulikaidi amri ya kukataliwa ruhusa ya kwenda Cairo na Lowasa .Wana habari walialikwa nawe ukiwa mmojawapo unanyimwa ruhusa uliporudi ukafukuzwa kazi .

Mbowe alikuokota una sota na akakutaka muanze kazi wote na kukufanya Mhariri . Ni mbowe huyu huyu aliye kujengea confidence kwa kukuamini mimi na kazi na mali zake ukawa mtu lakini ulitumia gazeti lake kummaliza wakati anagombea mwaka 2005 na bado yeye haujali .Kama unabisha juu ya wewe kufutwa kazi njoo useme haya .

Ni Mbowe alikupeleka Veta kujifunza kuendesha gari na akakupa gari ili uchape kazi lakini kwa kuwa akili yako haina akili ulikuwa una muuza lakini pamoja na watu kumwambia Mbowe hakuamini kama wewe ulikuwa nyoka mmbaya .

Kwa haya machache nakuuliza wewe Balile na kuwajulisha hao akina Rostam wewe ni mtu wa aina gani na kwa kuwa wee utu si kitu bali pesa je siku wataishiwa ama akaja mtu na dau akakununua is utajivua akili kama ambayo tuna shuhudia sasa kwanza kwa Lowasa na sasa Mbowe na wana habari wenzio wanakukumbia .Unakumbuka tukio la juzi walivyo kuacha baada ya wewe kuingia ?

Balile ama wapambe waje wajibu nizidi kumwaga nondo hapa .
Hivi MNYIKA yuko wapi jamani? kwa nini asingekuja kumuanika huyu FISADI >? HAHAAHAhahaaaaaaaaaaa.

So MBOWE was hitting the right keys and expected a positice feedback ? hahahaaa ! MBOWE ACHA KUTUMA WATU KUJA KUCHAFULIA WENZAKO MAJINA ! Hii itakuharibia kijana !

Kama Mbowe alifanya hayo yooooooooote kwa mapenzi yake mwenyewe kutoka moyoni, kwa nini angojee shukurani ? kwani waliandikishana ? Mbowe you need a vakesheni, ebu nenda Mikumi kapumue kidogo !
 
BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225

Kijibaraka cha Mafisadi, hata haya huna? unasherekea nchi kuwa maskini, kweli wewe Fisadi kabisa, iko siku yako
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Kijibaraka cha Mafisadi, hata haya huna? unasherekea nchi kuwa maskini, kweli wewe Fisadi kabisa, iko siku yako
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
 
Masaka

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
437
0
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
Hizi lugha za matusi kama hizi jamani ziachwe kwani zinaharibu hadhi ya JF. Kada what happened to you! lugha hizi hazijengi bali zinabomoa nchi, JF, na wewe mwenyewe. Tafadhali usitafute sababu ya kufungiwa. Pleaaase.
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Hizi lugha za matusi kama hizi jamani ziachwe kwani zinaharibu hadhi ya JF. Kada what happened to you! lugha hizi hazijengi bali zinabomoa nchi, JF, na wewe mwenyewe. Tafadhali usitafute sababu ya kufungiwa. Pleaaase.
kibarua kuota nyasi ni kufukuzwa kazi, na ngedere ni kama ngedere the usual suspect, sasa tusi liko wapi hapo tena ??
 
BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
Unaonyesha tu kuwa uwezo wako wa kufikilia umekaa kifisadi tu, kwani umeambiwa nchi ikiwa maskini wanaotaabika ni wale wanaolipwa tu? Fisadi vipi, tumia akili kidogo tu kupambanua mambo bwana, hata hizo mnazofisadi hazitatumika, labda muame nchi, Fisadi we!
 
duh, hands down ! inaonyesha wee ni greatest inventor, unatumia macho yako kutambua huyu ana akili za kifisadi ? sasa naona hamna haja ya kuwa na tume zoooote zilizoanzishwa simply bikozi wewe una huo uwezo !

na kwa taarifa yako haami mtu nchi, ndio kwanza naenda kuweka msingi kwenye kibanda ! MISSION FAILED !
 
Kuwatambua mafisadi ni kazi nyepesi tu, kwani si mnajulikana tu, kwani wewe hunioni kama wewe Fisadi? Kadampinzani vipi bwana, hiyo ndo status yako na wenzio unaowateteaga hapa JF, akina EL, RA na Mafisadi wengine wengi tu
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Kuwatambua mafisadi ni kazi nyepesi tu, kwani si mnajulikana tu, kwani wewe hunioni kama Fisadi? Kadampinzani vipi bwana, hiyo ndo status yako na wenzio unaowateteaga hapa JF, akina EL, RA na Mafisadi wengine wengi tu
nakuona fisadi !
 
kichwamaji

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
233
0
kijana unajua mimi silipwi, so i have nothing to loose. Kama kibarua kuota nyasi nadhani you hit the wrong target ngedere wee !
Kada, ulipwe usilipwe, huna sababu ya kuja hapa kudiriki kuchafua akili za watu. kama hujalipwa na bado unawashabikia mafisadi na kuwatetea kiasi hiki cha kushindwa hata kufikiri, ingekuwaje ungelipwa? au ndiwe balile anayesemwa hapa? unajiaibisha bure hapa na chuki zako kwa mbowe. jinyonge basi tujue we mwanaume!
 
KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,748
0
Kada, ulipwe usilipwe, huna sababu ya kuja hapa kudiriki kuchafua akili za watu. kama hujalipwa na bado unawashabikia mafisadi na kuwatetea kiasi hiki cha kushindwa hata kufikiri, ingekuwaje ungelipwa? au ndiwe balile anayesemwa hapa? unajiaibisha bure hapa na chuki zako kwa mbowe. jinyonge basi tujue we mwanaume!
what i asked was simpo, na mmeshindwa kujibu. sasa anayetetea wenzake ni nani hasa ?
 
Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
0
si useme tu easter hii umetoswa na watoto ?? nenda club dogo !

kutoswa na watoto jumlisha na hasira zako za balile, yaani full kujinyonga mwanangu !
Kada
Tafadhali sana nakuomba sasa leave my topic to be discussed. Sizimiii wewe kuendelea kupotosha maana ya mada yangu.Please get hands off .Fungua mada yako ya ubishi uendelee .Wana JF naomba turudi kwente mada yenyewe .
 
BabaH

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
704
225
si useme tu easter hii umetoswa na watoto ?? nenda club dogo !

kutoswa na watoto jumlisha na hasira zako za balile, yaani full kujinyonga mwanangu !
Pole sana Fisadi, bado upo ulimwengu huo wa kufikilia mambo ya watoto sio, umri na priority zangu ni tofauti na mawazo yako ya kifisadi
Fisadi, yaani huna mambo ya kufanya, unafikilia totoz tuuuu, kweli mafisadi mna matatizo,
Pole sana Fisadi
 
Majita

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
608
250
si useme tu easter hii umetoswa na watoto ?? nenda club dogo !

kutoswa na watoto jumlisha na hasira zako za balile, yaani full kujinyonga mwanangu !
Club gani wewe umeenda??Acha story za form one kutishiana kujua definations za Biology na Chemistry mbele ya ma-Dr.Kaa kimya,acha ushamba ila unaweza kuendelea na ufisadi wako.
 
Nakandamiza Kibara

Senior Member
Jul 17, 2007
143
0
Wandugu wana JF
Naomba sasa vijembe na maneno yaishie hapa tujadili niliyo yaleta .Nia yangu nataka kumuonyesha Balile aina ya laana ambayo wamejitakia mwenyewe.We are talking about his intergrity hapa na Ethics za professional yake.Akumbuke maneno haya anayasema Rostam mwenyewe kwamba wanavuna matunda baada ya kumsomesha wenyewe .Namtaka Balile aje hapa anipinge ili nimwage zaidi .
 
Top Bottom