Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,915
- 17,001
Mimi nazungumzia
1. Maadili
2. Elimu
3. Umri
Zamani sana ilikuwa huwezi suluhisha ugomvi wa baba na mama. Hata kama unamjua mkosaji. Huwezi sema kitu. Unawafuata wazee unawaambia wakaongee na wazazi. Tena wazee wenye akili, busara na hekma. Siyo kila mzee.
Sijaelewa wapi tulikuja anguka. Ilianza kama masikhara pale Bashite alipomgusa au msonga songa Mzee Warioba. Kwa mila za miaka yetu Bashite angetengwa kabisa. Angekatwa ule mkono uliomgusa Mzee wetu,angetandikwa hadharani viboko hamsini asubuhi, jioni hamsini akamwoneshe mkewe. Alikosea Kabisa,alikosea mpaka mwisho, maana alimtia unajisi yule mzee. Enzi zile za Sodoma na Gomorrah angechomwa moto kabisa.
Ajabu kizazi cha hovyo na watu wa hovyo waka mpromote. Nlishangaa sana. Wengine kama machungwa kumbe ni madaranzi. Nliumia sana.
Leo hii Mzee Butiku anaongea kitu. Anatokea Balile anamjibu? Kweli Balile failure anaweza mjibu Mzee Bujiku? Zamani angetandikwa viboko, angetengwa kwa muda flani atakaswe kisha angerudishwa na kupigishwa mswaki kwa kutumia mchanganyiko wa Mwarobaini na Mualovera kisha ndo angeruhusiwa tena kuanza kuongea hadharani.
Balile anapaswa kujibishana na akina Nape, Mwashambwa, Kibajaji, Musukuma, Makamba et al. Hao ndo size ya Balile. Vijana tukiacha wazee wetu hawa wajibiwe na watu wa hovyo kuna siku watakuja kupigwa vibao au mawe halafu sisi ndo tukachekwa.
Balile, wewe hata huogopi? We huna wakubwa kwenu? Hukulelewa na wazazi? Wewe umekosa hata hekma ndogo kabisa ya mtoto wa miaka 10? Balile huyu huyu tonge nyama. Hakuwahi kuwa na akili wala busara. Haelewi hata majukumu yake kama mwandishi. Yaani ni Bwege Mtozeni kabisa.
Kweli kizazi hiki kimepotea sana. Ni aibu sana kuwa na vilaza kama akina Balile. Zamani waandishi wa habari walikuwa ni watu wenye akili. Ghafla tu mkaja mkabadilisha kuamua wawe ni vilaza. Nchi hii ndo maana bado inatambaa. Haikui.
YAANI MZEE BUTIKU ANAONGEA NA BALILE ANAONGEA? IMENIUMA SANA. HAIKUPASWA IWE HIVI HATA KIDOGO. MZEE BUTIKU AKIONGEA BALILE ANAPASWA ASIKILIZE. KISHA ASHUKURU KWA KUSIKIA MANENO YA MZEE BUTIKU