Balali yuko HAI - He is not dead

Status
Not open for further replies.
Tembeleeni bar ya who told you, iko maeneo ya Kunduchi huko mpakani na Tegeta.....
 
tatizo lenu nini? mnaona nafaidi//??! njooni tule bata
 
Serikali ya ccm si ituoneshe hata picha ya balali alipozikwaa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

We unataka ajulikane lini? Wakat unaambiwa kajulikana?
 

Vuvuzela kweli wewe ungekaa kimya tu,unawashwa nini?
 
Uvccm mbo siwaoni kuchangia hapa????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ni kweli kwenye nchi huru, Gavana wake wa Benki Kuu akafariki akazikwa huko huko bila hata kusikia viongozi wa nchi yake kuhudhuria mazishi hayo?
 
wew unafikiri waingereza wanvo mtus kikwete wanakosea?
 
Nilikuwa nae hapa see clif sasa hivi kafuga mandevu ka osama. Tafadhali kuna jamaa yeye anomba picha sina picha!!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…