BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

Kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama Uingereza, Misri, Israel, na hakuna tatizo lolote.

Ukishajua itakusaidia nini? Unapata challenges kwa kuwa wana JF hawajajua nia na madhumuni ya Ombi ili. Aidha, bado taasisi zilizopo za waislamu, zinaweza kuwahesabu kama lengo ni kuwasaidia kimaendeleo na kidini waislam.
 
WASUKUMA NA WANYAMWEZI hatujui sensa yao iliendeshwa wapi hivyo nanyi waswahili fanyeni ya kwenu bila kulazimisha mfumo wa serikali kuwafanyia sensa!!! Mfumo utawala wa kidini hauwezi kuwaletea maendeleo na amani mnayotaka. Bwana Yesu tusaidie Tanzania ijayo iwe ya amani hawa wanaodai utawala dini wapotee kama waliowatangulia waliofikiri hivi walale mahali pa ukimya
 
Ndio maana mimi niliamua kuwa MPAGANI..........
Nafikri tuwewaadilifu kidogo tunapojadili haya masuala,hao waislam wasingekuja na hiyo hoja ya kutaka dini iwe ni moja ya vigezo vya kuhesabiwa na pia hata wao kama wengi walivyochangia ni kwamba wafanye utaratibu wa kujihesabu wenyewe!

Sababu nizionazo mie ni baada ya wakristu kutoa takwimu zinazoonyesha percentage ya watanzania kwa dini zao hivyo kuondoa hilo ambalo wao waislaam wanaamini ni cooked data na ili pia wao kujihesabu wenywewe hawaoni maantiki kwa sababu wasifanye kama walichofanya maaskofu na kuoondoa huo mkanganyiko ambao unaweza kutumiwa vibaya na baadhi ya wasiowatakia mema.

Jukumu hilo lifanywe na serikali tena wakati huu ambao taifa linaelekea kwenye zoezi hilo, tungeunga mkono hoja hii ilikuzipa nguvu data zilizotolewa na maaskofu kuwa wakristo ni wengi zaidi katika nchi hii hivyo pia wanastahiki kupata ruzuku kubwa kama inavyofanywa sasa hivi katika kutekeleza huduma za kijamii.
 
Hapa kuna mkanganyiko. BAKWATA na Taasisi ya Waislam nchini ni vitu viwili tofauti. Sasa iliyotangaza ni Bwakata au Taasisi ya Waislam ? Msianze kuchangia kabla ya kuelewa hali halisi.
 
kipengele cha dini ni muhimu sana.... hilo lipo nchi zote! minority wapo kwenye OTHERS Hakutakuwa na usawa mpaka ujue wananchi wako wamegawanyika katika ma group mangapi! ... safi sana bakwata naona sikuhizi mnafanya mambo kwa faida ya waislam na sio matumbo yenu kama ilivyokuwa awali
 
Kweli kuna haja kwa pande zote mbili kukaa pamoja na kusikilizana juu ya hoja zao, sioni ugumu uko wapi.
 
Basi hakuna tatizo Bakwata kujitoa, Serikali wafanye sensa yao.

Hivi nyie huwa mnatumia ubongo wa masaburi kufanya maamuzi!

Kama mnataka kujua mko wangapi fanyeni sensa yenu, kila shehe kwenye msikiti wake ahesabu waumini wake muwajumulishe. Kwa madai yenu ya kuhesabiwa kwenye sensa, Mnataka serikali itambue mko wangapi itusaidie nini, mnataka kujua wapi mnaweza kujitoa mhanga mkaua wakristu wengi zaidi na wapi msijitoe mhanga.

Fanyeni sensa yenu wenyewe na serikali itaendelea na taratibu zake.
 

Kumbe hiyo ndio sababu ya kuwazuia waislam kutokujua idadi yao...?!
 
Baada ya kujua idadi ya wana imani fulan!, nini kitafata?

Kura ya nani anataka sheria ya mahakama ya kadhi.., nani ana imani na wizara fulani....., waziri fulani......, nchi iongozwe na dini gani....watazania wavaeje........hatuna imani na....... FUMBUKA
 

Hizo data zinapewa nguvu kwa sababu ipi, kama wanaona wakristu wametangaza cooked data na wao watangaze roosted data. tatizo liko wapi hapo. Hii nchi si ya kidini, mnataka tujue mko wangapi kiserikali ili tufanyeje?
 
Basi hakuna tatizo Bakwata kujitoa, Serikali wafanye sensa yao.
Kwani Ritz BAKWATA ilikuwa inahusika kwenye sensa? mimi nadhani inajihusisha wala si kazi yao may be wafanye sensa ya waumini wao lakini hii ni sensa ya wananchi wa tanzania na kila mwananchi mwenye akili timamu atashiriki watakao kuwa na matatizo ya akili ndio wanaoweza tu kugoma.
 

Weka hizo data za sensa ya 1957, usilete mambo ya kwenye vijiwe vya kahawa hapa
 

I support. Hoja kujua idadi yao ni lengo mkakati na la muda mrefu. Wana jambo hawa. Wanataka kuanza kushinikiza baadhi ya maamuzi kama mahakama ya kadhi, kujiunga na OIC, kwa kisingizio cha idadi kubwa.
 
Ndio maana mimi niliamua kuwa MPAGANI..........

nafikri tuwewaadilifu kidogo tunapojadili haya masuala,hao waislam wasingekuja na hiyo hoja ya kutaka dini iwe ni moja ya vigezo vya kuhesabiwa na pia hata wao kama wengi walivyochangia ni kwamba wafanye utaratibu wa kujihesabu wenyewe!sababu nizionazo mie ni baada ya wakristu kutoa takwimu zinazoonyesha percentage ya watanzania kwa dini zao hivyo kuondoa hilo ambalo wao waislaam wanaamini ni cooked data na ili pia wao kujihesabu wenywewe hawaoni maantiki kwa sababu wasifanye kama walichofanya maaskofu na kuoondoa huo mkanganyiko ambao unaweza kutumiwa vibaya na baadhi ya wasiowatakia mema,jukumu hilo lifanywe na serikali tena wakati huu ambao taifa linaelekea kwenye zoezi hilo,tungeunga mkono hoja hii ilikuzipa nguvu data zilizotolewa na maaskofu kuwa wakristo ni wengi zaidi katika nchi hii hivyo pia wanastahiki kupata ruzuku kubwa kama inavyofanywa sasa hivi katika kutekeleza huduma za kijamii.
 
Kama ulichokiandika ndicho unachomaanisha inaelekea haukusoma na kama umesoma inaelekea ulikuwa unakariri na hauna ufahamu wa mambo. Jitahidi uwe mwelewa wa umuhimu wa kipengele cha dini katika sensa.

mimi sijasoma sawa wewe uliyesoma nionyeshe umuhimu wa dini kwenye sensa! kama mnataka kujua waislam wangapi si muhesabiane huko misikitini??
 
watanzania tujikite kwenye issues za kuleta maendeleo ya nchi yetu,nakwambieni leo hii mtume muhammad angelikutana na yesu kristo wangekaa pamoja na kunywa kahawa sasa nyie wabishania nini? idadi ya waumini?? kama ni uisilamu nendeni afriganistan,syria iraq, pakistan n.k
 

tupo pamoja mkuu
 
Kwani kuna tatizo gani kuweka dini kwenye sensa, mbona nchi nyingi duniani wameweka sehemu ya dini, kama Uingereza, Misri, Israel, na hakuna tatizo lolote.



ok ritz nimekusoma! Kwa kuwa Uingereza kwenye sheria wameruhusu ndoa za jinsia moja basi na sisi tufanye hivyo hapa TZ!? ..just extending your line of thinking..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…