Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,453
- 34,004
Nan,Kwani mwarobaini wa matatizo ya waislam ni EAMWC pekee?kama Bakwata ilianzishwa kukidhi matakwa ya wazalendo kama zilivyokuwa TEC na CCT ni wapi tumesikia Bakwata ikihujumiwa katika shughuli zake?
Umeongelea OIC na nchi kukataa kujiunga nayo.Tanzania ni nchi ya kiislamu?Angalizo usifananishe mahusiano ya vatican na Tanzania kwa sababu Vatican ni sovereign state kama zilivyo Rwanda au Burundi.
Ni wapi
Nataka ufanye ulinganifu kiuchumi wa nchi ambazo bila kutegemea natural resources zao zimeinuliwa either watu wake au nchi binafsi na OIC kwa tangible examples ikibidi pia ufanye hivyo hivyo kwa nchi zenye mahusiano na Vatican.
Malalamiko kuhusu kuonewa kwa waislam na kutengwa kielimu baada ya kuwa nimesoma hoja nyingi ni kwamba hakuna tangible evidences hata sasa(Ila nataka nikupe challenge utembelee vyuo vikuu vyote leo uangalie postgraduates programs members wake majority ni wa dini gani na makabila yapi halafu uje unieleze sababu yake ni nini tukiassume kuwa malalamiko ya elimu yalisha fanyiwa utatuzi.Ukiwa unachukua sample yako kwenye utafiti huu uangalie idadi ya masista,mapadre na wachungaji kwenye levels hizo hizo ulinganishe na masheikh na maustaadh tukiwa na assumptions kwamba taasisi zote za kidini ziko huru kutoa scholarships na kwa sasa kuna fursa sawa tofauti na zamani
N.B.Naomba utafiti huu ufanyike kwenye vyuo vya umma tu kuzuia kuzipa nguvu arguments zako za vyuo vya waislam kukandamizwa )
Mwisho Nakuomba angalau unipe PhD angalau kumi katika taasisi hizi za kiislam ikiwa kama ni kipimo cha capacity ya taasisi hizi ulinganishe na vichwa vya Taasisi nyingine za kidini.
Umeongelea kuhusu Chuo kupelekwa Uganda sisi tunasema sawa wala hakuna shida,swali linakuja kuhusu sustainability ya chuo hicho huko Uganda ikikupendeza onesha matawi hata manne kilichofungua tangu kuanzishwa halafu ulinganishe na SAUT iliyoanza juzi.Utuambie kama kinatoa elimu kwa wote bila ubaguzi ama ni kwa ajili ya mafunzo ya kidini tu.Mchango wake kwa waganda ni upi?
Rudia kusoma jibu la Prof. aliposhangazwa na uduni wa Waislam.
Nimekusoma hapo juu na nimebaki nacheka peke yangu,
