GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Katiba ni vigumu kuiondoa CCM madarakani kwa njia za kistaarabu.
Hili ndilo jambo pekee lililobaki; na wao CCM wanataka hivyo wakifikiri hiyo dola itakuwa kwao milele.

Jambo la kushangaza ni kuwa hawa majambazi wanaitaka sana hali hiyo ya kuwasukuma kwa nguvu; kuwa ndiyo itakayozidi kuwaimarisha kuendelea kukaa madarakani kwa mabavu.
 
Back
Top Bottom