Bakwata yaishtukia serikali

Here we go again.

In this BS of religion u have to admire the Chinese gvt. Sisi huku akili zetu bado zinatawaliwa, hatupo huru.
 
I know people with so called strong faith are going to come at me for saying this but I strongly believe this. We are a nation of religious, tribal and ethnic diversity but we have one uniting factor which is being Tanzanian. It is time we saw each other as Tanzanians first and every individual can hold on to their faiths within their own hearts instead of imposing it on others. We fail to find great leaders because we narrow our options with trying to find balance. We fail to talk about facts and reality because we want to be politically correct. We are afraid to speak the truth because we know there is a group which won't listen to the truth but rather rally blindly behind faiths imposed to us by the same people who saw it necessary to divide us in order to conquer us. It is time we learned to be Tanzanians instead of Christian or Muslim, Tanganyikan or Zanzibari, Chaga or Sambaa, north, south, west or east. At the end of the day we are all just Tanzanians. As soon as we learn this then we can prosper as a people.
 
“Mheshimiwa mwenyekiti naomba uwakilishi wa Waislam katika mkutano huu uongezeke... tukitizama uhalisia, idadi ya Waislam na Wakristo haitofautiani sana, lakini ndani ya mkutano huu Waislam tupo 15 wakati wenzetu wapo zaidi ya 40! “...Nasema hivi kwa sababu na sisi Waislam tunayo Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu ambazo hazipo BAKWATA nao wana waumini wao na ninyi mlivyotuletea mwaliko mmeweka idadi ya viongozi 15 tu, sasa kwa mantiki hii lengo lenu kwa upande wetu halitatimia,” alisema Sheikh Lolila.

Madai ya sheikh yana msingi fulani lakini hayaja zingatia swala moja. Kwenye Ukristo ina julikana kabisa kuna Walutheran, Wakatoliki, Waanglikana na Wasabato nk. Hizi siyo taasisi tu bali ni madhehebu na pia waumini wao hawa sali kanisa moja. Una kuta Walutheran wana makanisa yao na wakatoliki wana yakwao hali kadhalika kwa madhehebu mengine. Kwa hiyo ina fanya uraisi zaidi kualika wawakilishi kutoka madhehebu haya. Lakini ukija kwenye Uislamu mtu awe Shi'ite, Sunni au hata Sufi wana swali msikiti mmoja. Kwa hiyo ina kua ngumu kualika wawakilishi wa Shi'ite, Sunni na Sufi. Serikali haiku zingatia tatizo hili wao waka alika kutokana na uwiano. Nadhani wange fikiri kabla wange jua kuna hili swala linge ibuka. Lakini pia sija sikia dini zingine ukiacha Ukristo na Uislamu uki wakilishwa. Kama kweli ni kutafuta haki na uwiano kwa nini hao viongozi wa dini hawa kulalamika pia dini ambazo hazi kuwakilishwa kabisa? Kama ni uwiano basi hata dini ndogo zinge hitaji uwakilishi wa uwiano kufuatana na malalamiko ya sheikh. Hapo ndipo ninapo ona madhara ya jamii ambayo ina tilia mkwazo mno mgawanyiko wa kidini, kimakabila na nk. Kila kitu kina lazimika kuwa katika mathematical calculation fulani. Kwa nini tusijione tu kama Watanzania?
 
Hawana hoja kazi kutafuta conflicts zisizo na msingi, idadi ya wajumbe inahusiana nini na michango ya mawazo kwani wanakwenda kupiga kura, kama wana hoja za nguvu hata wajumbe wawili wanatosha kuwakilisha kwa vile hazimnamo wanafikiri uwingi wa wajumbe ndiyo hoja, hovyooo.

Unazungumzia mkutano wa aina gani huo. Unajua vikao vyetu mara nyingi kuna kuinua mikono kuthibitisha jambo na wala hakuna kifaa kinachopima hoja za watu.Mwenyekiti akisema achague aliyeinua mwanzo au watu 8 tu kuchunga muda huoni kuwa wajumbe wa waislamu watakosa nafasi za kusema waliclhonacho.
Inapokuja sokomoko la kuinua mikono ndio kabisa litapita jambo ambalo halina maslahi yoyote na uislamu na hilo kutangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa ndio azimio la mkutano wa serikali na vliongozi wa dini.
Huyu sheikh aliyeuona ujanja wa waandaaji anastahili pongezi,Eti hiyo sio ajenda namba moja!.
 
Mkutano ulioitishwa na ofisi ya waziri mkuu kati yake kwa niaba ya serikali na viongozi wa dini uliingia dosari hapo jana na kushindwa kuendelea baada ya ujumbe wa waislamu uliowashirikisha Bakwata tu kutilia shaka mwaliko huo.

"Mheshimiwa mwenyekiti naomba uwakilishi wa Waislam katika mkutano huu uongezeke... tukitizama uhalisia, idadi ya Waislam na Wakristo haitofautiani sana, lakini ndani ya mkutano huu Waislam tupo 15 wakati wenzetu wapo zaidi ya 40! "...Nasema hivi kwa sababu na sisi Waislam tunayo Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu ambazo hazipo BAKWATA nao wana waumini wao na ninyi mlivyotuletea mwaliko mmeweka idadi ya viongozi 15 tu, sasa kwa mantiki hii lengo lenu kwa upande wetu halitatimia," alisema Sheikh Lolila.

Huu ni upendeleo wa wazi ambao hata hao waliokuwa wakipendelewa ili kujenga tabaka wameshtuka.

Kaaazi kweeli kweeeeeli.
 
Hawana hoja kazi kutafuta conflicts zisizo na msingi, idadi ya wajumbe inahusiana nini na michango ya mawazo kwani wanakwenda kupiga kura, kama wana hoja za nguvu hata wajumbe wawili wanatosha kuwakilisha kwa vile hazimnamo wanafikiri uwingi wa wajumbe ndiyo hoja, hovyooo.

Hapa umesema kweli, nao wanalijua hili vyema

inferiority complex tu

Ukweli ni kuwa hawajiamini kabisa, ndio maana hata yule wa chuo kikuu cha Zenj alisema tupo nusu kwa nusu

Suala hapa sio idadi ya watu ni uwiano wa uwakilishi! ukiangalia idadi ya wakristo walioalikwa ni wazi walizingalitia uwakilishi wa kila dhehebu, lakini kwa idadi hiyo ya ndugu zetu waislamu ni wazi kabisa walioitisha huo mkutano hawakuzingatia uwakilishi wa madhehebu, na hili ndio tatizo mara nyingi watu hufikiri kuwa uislam ni dhehebu moja tu!

Hili limesababishwa na wao kujifanya eti wao wana umoja kuliko watu wa Mungu Yesu, lakini wanachapana bakora hata misikitini, kule Pakistani Wa-SUNNI na Wa-SHIA wanauana kila kukicha.
 
I know people with so called strong faith are going to come at me for saying this but I strongly believe this. We are a nation of religious, tribal and ethnic diversity but we have one uniting factor which is being Tanzanian. It is time we saw each other as Tanzanians first and every individual can hold on to their faiths within their own hearts instead of imposing it on others. We fail to find great leaders because we narrow our options with trying to find balance. We fail to talk about facts and reality because we want to be politically correct. We are afraid to speak the truth because we know there is a group which won't listen to the truth but rather rally blindly behind faiths imposed to us by the same people who saw it necessary to divide us in order to conquer us. It is time we learned to be Tanzanians instead of Christian or Muslim, Tanganyikan or Zanzibari, Chaga or Sambaa, north, south, west or east. At the end of the day we are all just Tanzanians. As soon as we learn this then we can prosper as a people.
Point mkuu. kila kukicha matabaka yanadhihirika na hali inazidi kuwa mbaya. Tunakoelekea uongozi pia utatokana na imani zetu za kutaka kujenga uwiano na si uwezo. Hii itakwenda mpaka kwenye ajira. sidhani kama Tanzania tutavuka karne ya 21 salama.
 
Mbona tunadai parity katika masuala ya dini peke yake? Wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini hata siku moja sijasikia kuwa uwakilishi wao katika semina, mikutano n.k. uendane na idadi! Haya yote ni machozi ya mamba.

Amandla.......
 
Nyie mnaolaumu serikali are u 4 real??

Of course serikali lazima ifanye sarakasi za PR na viongozi wa Kikristo zaidi maana wao ndio wanaonekana tishio kwa sasa due to their stubbornness, tofauti na wale wa kiislamu ambao wapo sooo passive and relaxed, especially due to the recent baruaz na nyarakaz..Sasa ukiingia with naive point of view hutoona mchezo unaochezwa hapa.
 
Kuna anayefahamu posho ya mkutano huu ilikuwa kiasi gani? ukiondoa chai na lunch ya bure?
 
Siwanajifanya BAKWATA wao ni marafiki wakubwa wa CCM,kwasababu huwa wanapewa posho ili watutumie kutupumbaza waislam,ila waislam tumeshashtukia wanatutumia tu hawa CCM,viongozi wa BAKWATA ni sehemu ya CCM mana ndiyo wanategemea posho huko.
 
Nashanga wakristo wana dini mbalimbali kama RC, MENONIGHT, KKKT, ANGLICAN nk na wote waliwakilishwa kwani waislamu ni BAKWATA TU. Hongera wajumbe wa BAKWATA kwa kuchoka kuwasaliti wenzenu, Tanzania si ya wakristo, Tanzania haina dini.
 
Hongereni bakwa kwa kuamka kutoka usingini, tena usingizi mzito.
Kweli kabisa, bora waamuke wapinge kuendelea kupendelewa. Dhehebu moja lataka liwakilishwe kama multiple?!, well: agenda ilikuwa nini.
 
Abdul halim na Mwanafalsafa nipo mobile nimetafuta kitufe cha Thanks sikioni. But ur the one amongst the true greatthinkers. Positive thinking. Make others understand what is it to think big. Think as a nation not as certain group 1st.
 
Abdul halim na Mwanafalsafa nipo mobile nimetafuta kitufe cha Thanks sikioni. But ur the one amongst the true greatthinkers. Positive thinking. Make others understand what is it to think big. Think as a nation not as certain group 1st.
abdul bidup you are atrue greatest thinker
 
Nafikiri ili kukata mziizi wa fitina , waziri mkuu angaitisha viongozi wa dini mbili tu kuu za hapo Tanzania bara yaani wakristo na waislam. Kila mmoja alete wajumbe 15 kwa jumlat ya tharathuna tu na sio waende mpaka level ya thehebu. Kwani huko ni kuleta mtafaruku mkubwa sana.

Ukiangalia anapoapishwa Rais wenu kunakuwa na viongozi Mmoja wa Waislam, wawili wa kikristo ( 1 kutoka Roman na mwingine 1 kutoka mungano wa makanisa mengine) na wenzetu wahindi. Hilo ni suala makini inabidi mlitazame pia.
 
Bakwata msiwandanganye wenzenu. Nyinyi ni nyumba ndogo ya serikali na mkijifanya kujua serikali ikiacha kuwalinda mtapinduliwa na wahuni wa shura wakati wowote. Mie naona uwakilishi si hoja bali mshiko na kutaka ujiko. Maana siku hizi wanaojiita viongozi hasa wengi wa kiislamu wanajipendekeza kwa Njaa Kaya Kikwekwe ili awatupie mabaki. Viongozi wa dini wahuni. Walitishia kumfikisha mahakamani Kikwete kusema wanauza unga, kama hawauzi mbona walifyata mkia. Badala ya kulia lia kuwa na uwiano sawa kwenye kulala kitanda kimoja na serikali fisadi, wangekuwa wenye uchungu na utauwa wangekwenda kwa wanananchi kuwahamasisha waipindulie mbali serikali hii ya kifisadi na kisanii. Anyway nao ni wasanii kama wabongolalaland wengine. Tangu lini serikali ikawa na dini au viongozi wa dini wakawa wanasiasa kama sio sanaa ubabaishaji na njaa ya mchana? Kweli dini siku hizi zimeishiwa na hazina maana tena. Turejee kwenye matambiko na matunguli yetu.
 
Back
Top Bottom