BAKWATA wawakana Masheikh walioenda Kanisani Jumapili, wadai hawahusiani na nao

1490623427286.jpg
hawa ndio Bakwata au ambao wameshindwa ata kuinua midomo yao kumkemea muhumin wao kwa madhambi anayo ya fanya aibu yenu watuwazima ovyooo
 
Hawajitambui hawa! Ni aya ipi iliyoandika kwenda kanisani ni dhambi!?
Kuna wasomi wa dini ya kiislam moja wale wazee waliosoma katika level ya kusoma hitma na wale waliosomea vyuo vya asia uarabuni huwa wako tofauti kabisa na wale waliosomea Misri maana wasomi wa Misri wamechimba shule kwa ndani sana ni wasomi haswa wa Elimu ya dini ya Kiislam.Course yao ni miaka sita mfululizo na kama unafeli feli unaweza enda enda mpka miaka kumi siyo mchezo wanaelewa sana.
 
Tatizo bakwata wanapenda sana kujikomba kwa serikali,
utadhani shehe khalifa kafanya kosa la jinai kuhudhuria kwa ngwajima eti sasa ndo wanajiweka nae mbali..

Hivi kwani nani hajui kuwa khalifa na bakwata ni kama chui na mbuzi?,

hilo tamko ni la kinafiki
 
Ila barua haijasema kama hao masheikh wamefanya dhambi.


Hakuna dhambi waliyoifanya, kabisa tena. Mbona Waislam wananunuwa makanisa yanayoendelea kukosa waumini kila kukicha huko nchi za Magharibi na kuyafanya misikiti.
 
Gwajima msanii tu kama wasanii wengine....

Kama aliweza kuwakusanya Masheikh Uchwara na Wachungaji Uchwara kwenda kumuomba Lowasa achukue fomu ya kugombea Urais kule Dodoma ndani ya CCM ...

Sidhani kama hili lingemshinda..!
c bora yeye msanii anaongea na akili kubwa zinamuelewa wew hata inzi hakusikilizi
 
Back
Top Bottom