BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Elimu ahera ni muhimu kiliko elimu dunia. Wana faida na hilo, kipozeo anaita mizigo
Nani alikudanganya kuna "elimu ahera"?

Elimu zite ni kwa manufaa ya maisha yako ya duniani, ahera ama moto ama pepo.
 
Screenshot_20230324-170543.png

Huyu ndiye binti wa Miaka 14,akifika miaka 26 atakuwa amechoka na kuchakaa baada ya hapo anapewa taraka 3 arudi kwao wakati huo anakuwa hana skills/professional yoyote Kichwani mwisho wa siku anakuwa mzigo kwa familia.nyie watu acheni ukatili kwa watoto kuweni na huruma vichwani mwenu mmejaza ngono ngono ngono.
Wenzenu TEC wanataka serikali ipitishe muswada wa kuwaondelea viongozi kinga ya kutoshitakiwa wakati huo nyinyi mnawaza kupitisha ndoa za umri wa Miaka 12.
 
Hata mtume alioa katoto ka 9years...sasa wao ni nani wakatae 🤣🤣
Naam, ma shaa Allah. Unaongelea Bi Aisha, msomi wa Uislam moja jwa moja kutoka kwa Mtume Muhammad, aliyetuachia mafunzo mengi sana ya Uislam tunayoyajuwa leo hii.

Ni bibi mwenye kheri kubwa huyo.
 
Mtoto wa dada yako unataka awe reference kwa watoto wengine kuwa wote wapo hivyo?
Malezi mabovu ndio yamepelekea mtoto wa dada yako apewe mimba.
Ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, hv mkuu unawajua wanafunzi wa sikuhizi ?, samahani lakini hv ushawaona wanafunzi wa shule zetu hz za kata ?, acha kabisa mkuu kama watoto waliosalimika ni wachache mno, fanya reserch ya watoto wa kata hzo gari zao ni shida tupu , full mziki na bila mziki mkubwa gari hawapandi tena nyimbo zao ni singeli na full kupakatana nao wengine wa kiume asilimia kubwa wanakula nauli kazi yao kukaa stendi na kuomba lift , shenz kabisaaa
 
Wapo sahihi Kuna mtoto wa kike hapa ana miaka 13 lakini ananikonyeza kwa mbali Mimi Nina 26yrs na hasomi yupo yupo tu Sasa kwanini asiolewe kuliko kuja kupewa Mimba na wahuni maana watoto wa kike waki-balehe wanakuaga was Moto Sana.
 
Hii kitu cjawah kuona ikifanywa na Wakristo, Waislamu nyie mna matatizo ya akili.
kinyime chake nyie hampendi watu kufunga ndoa yaani in short muna encourage zinaa , stop huko uliko sija kutukana bali nimefanya vaisi vesa
 
kama mtume mwenyewe alikuwa anakula vibinti kwao ni kawaida tu, wamezoea kula ndama.
Ongea kwa lugha ya heshima kuhusu mtume Muhammad salla Allahu alayhi wasalaam.

Inayoongelewa hapa ni sheria ya Tanzania, unataka kuubadili mjadala kuufanya wa kidini na kuleta kejeli za kijinga?

Watu kama wewe ni walewale, mnajulikana, huwa hamna staha za midomo
 
Ni kweli wote wanaomaliza la Saba(miaka 14) huendelea na masomo!?..wanaokwama kusoma wafanyeje!?..wapate uzoefu wa ngono mitaani mpaka watapofika miaka 18!?
Sasa hilo mkuu hawqtaki kulikubali lakini ndio ukweli wenyewe mzigo unarudi tena kwa familia , hii ni shida kubwa sna
 
Wee ndio mpumbavu, Sasa hata kama ni bado sheria ya TZ .


Una mtoto wakike wa miaka 14 ??
Nimekuita mpumbavu kwa sababu umeingiza dini na ndio maana nimekuelimisha kuwa ni kwa mujibu wa sheria za tz na sio dini.
Ulicho kalili ni kuwa msikule wa jiwe hata sheria za nchi hujui.

Suala la mm kuwa na mtoto wa kike au kutokuwa nae hakuondoi ukweli hao mabinti zenu wa hiyo miaka mnao waita watoto, huku mtaani wanaliwa sana na wanajua kila aina ya staili ya kufanya ngono tena hizo ngono wanazifanya na watu wazima kama ww.
 
Wakati TEC Wanapendekeza Viongozi waondolewe Kinga ya kutoshitakiwa, yaani wote tuwe Sawa Mbele ya sheria, Hawa wenzetu wanapendekeza watoto wa miaka 11, 12 ,13 ,14 waruhusiwe kuolewa, kupanga ni kuchagua ......
Wewe hao TEC kuna mwenye mke pale
 
Nyie mnaopanga kuwaza kuw mwanamke ndio atakufanya utoe ndio mtapngan na hiyo hoja, mwanamke kaz yake kuzaa kupk na kutazam watoto nyumbn
 
Back
Top Bottom