Alafu walalamike Oh mitihani haisaishwi vizuri kwa waislamu
Walimu ktk shule moja ya sekondari mkoani DDM wapo ktk mgomo kudai mishahara yao baada ya baraza kuu la waislamu linalomiliki shule hiyo kushindwa kuwalipa mishahara.
"source" ITV habari asubuhi
BINAFSI NAJIULIZA HII ITAWEZAJI KULETA MATOKEO CHANYA KWA WATOTO WETU WA KIISLAMU?
NA SISI NDIO WA KWANZA KUDAI KUONEWA?
Kweli kuishi na yatima kazi mana ukimtuma dukani akidai "kwa kuwa yeye yatima",na wewe ukamwacha asiende ni kosa mana wazazi wake wangekuwa hai wasingemtuma?
Hiyo shule inawanafunzi wangapi? Idadi ya wanafunzi haijatosha kuleta pato la kuendeshea shule?
..........kwani walio kosa mishahara ndo wana sahihisha mitihani ? au umewafananisha na Ndalichako ? :confused2:😕
Vipi kama wazazi hawana uwezo wa kulipa ada? Hapa ndio OIC inapoliliwa
Shida ya kichwa ngumu huwa ni kuelewa. Alichomaanisha hapo ni kwamba watoto hawasomi kutokana na mgomo wa walimu halafu wakifeli mnawalaumu wasahihishaji.
By the way, muanzisha mada ni mnafiki. Na sidhani kama ni muislamu