OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,246
- 103,952
Kwa mujibu wa Uislam Majaliwa hana hadhi ya kuwa mgeni rasmi,yule mama aliyemuoa anamuondolea Uislam,simuhukumu lakini ndio ukweli
Ninachofahamu uislam unapaswa kufuata ufanano wa waislam wote duniani.Post yako inaonyesha kuna nchi ambazo hazikuona mwezi na zimetangaza jmtatu kuwa ni siku kuu ! Kuna tofauti gani na Bakwata ? ....swali la nyongeza, tukiona mwezi sisi East Africa, Saudi wanaweza kutufuata ? Kama jibu ni hapana, kwanini sisi tuwajibika kuwafuata hali ya kuwa mwezi jaukuonekana ?
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Kesho ndo eid itakayotangazwa na BakwataEid ni lini exact?6kuna wengine wamesherehekea leo 25/June Eid ya Serikali ni lini?
Tutasubiri Shekhe Abdallah Lowassa atutangazie, maana jana na yeye alikuwa anafuturisha !BAKWATA hawana mamlaka ya kuwasemea waislamu.
Wao ni kitengo cha CCM.
Hahahaa anatafuta off tuhuyo.acha uvivu, viwanda havipatikani hivo
Nani sasa ?Bakwata hawana mamlaka ya kuitisha Eid kitaifa.
watu twala eid saiz ,to hell with bakwata.Bakwata hawana mamlaka ya kuitisha Eid kitaifa.
Kesho ndo eid itakayotangazwa na Bakwata
Uislam upi unao ujua wewe ! Ipo aya inayoruhusu Waislam kuoa wasiokuwa Waislam (sharti tu, awe muungwana na mwenye tabia njema) ila hairuhusi Wanawake wa Kiislam kuolewa na wasiokuwa Waislam.Kwa mujibu wa Uislam Majaliwa hana hadhi ya kuwa mgeni rasmi,yule mama aliyemuoa anamuondolea Uislam,simuhukumu lakini ndio ukweli
Mufti wako ni mkeo ?watu twala eid saiz ,to hell with bakwata.
Ninachofahamu uislam unapaswa kufuata ufanano wa waislam wote duniani.
Ndio maana hakuna editing ya Quran popote duniani.
Sasa ikiwa mnaoenda kuhiji kwao wametangaza kuuona ninyi mnaweza kubisha kwa point gani au hamuwaamini hata mnaoenda kwao kuhiji?
Hapa hatuangalii kwamba tungeuona East Africa basi wao wangekataa kukubali kwani kuabudu nako kuna mashindano?
Suala ni kwamba duniani mwezi umeandama na kwa nature ya mazingira yetu(milima, hali ya hewa inawezekana mwezi tusiuone lakini waislam wengine duniani wameuona), kwenye dini kumeingia siasa.
IDD ni leo bwanaKesho ndo eid itakayotangazwa na Bakwata
Meonaeeeewatu twala eid saiz ,to hell with bakwata.
bado ningali bachela,kama una dada mwenye vigezo si mbaya ukinPMMufti wako ni mkeo ?
Lete aya mkuu acha maneno, FaizaFoxyUislam upi unao ujua wewe ! Ipo aya inayoruhusu Waislam kuoa wasiokuwa Waislam (sharti tu, awe muungwana na mwenye tabia njema) ila hairuhusi Wanawake wa Kiislam kuolewa na wasiokuwa Waislam.
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Dhambi kumuozesha dadako mtu asye maana !bado ningali bachela,kama una dada mwenye vigezo si mbaya ukinPM