BAKWATA wasema sikukuu ya Idd itaswaliwa kitaifa Moshi, mgeni rasmi waziri mkuu Majaliwa

Kwa mujibu wa Uislam Majaliwa hana hadhi ya kuwa mgeni rasmi,yule mama aliyemuoa anamuondolea Uislam,simuhukumu lakini ndio ukweli
 
Post yako inaonyesha kuna nchi ambazo hazikuona mwezi na zimetangaza jmtatu kuwa ni siku kuu ! Kuna tofauti gani na Bakwata ? ....swali la nyongeza, tukiona mwezi sisi East Africa, Saudi wanaweza kutufuata ? Kama jibu ni hapana, kwanini sisi tuwajibika kuwafuata hali ya kuwa mwezi jaukuonekana ?

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Ninachofahamu uislam unapaswa kufuata ufanano wa waislam wote duniani.
Ndio maana hakuna editing ya Quran popote duniani.
Sasa ikiwa mnaoenda kuhiji kwao wametangaza kuuona ninyi mnaweza kubisha kwa point gani au hamuwaamini hata mnaoenda kwao kuhiji?

Hapa hatuangalii kwamba tungeuona East Africa basi wao wangekataa kukubali kwani kuabudu nako kuna mashindano?
Suala ni kwamba duniani mwezi umeandama na kwa nature ya mazingira yetu(milima, hali ya hewa inawezekana mwezi tusiuone lakini waislam wengine duniani wameuona), kwenye dini kumeingia siasa.
 
Eid ni lini exact?6kuna wengine wamesherehekea leo 25/June Eid ya Serikali ni lini?
 
Bakwata hawana mamlaka ya kuitisha Eid kitaifa.
Nani sasa ?
wengi hatuliungi mkono Bakwata lakini kwa hili ni wao pekee kwa kushirikiana na ofisi ya mufti ys Zanzibar na Kenya ndio wapo na mamlaka. ..wao kwenye hili hawafanyi hiana wameunda kamati kila wilaya kushughulika na mambo ya tarekh.
na zanzibar nao pia wapo seriuos kwenye hili.
kuna hawa masheikh wajuaji wa miaka ya 80 basi wanataka kulazimisha tufate mwezi wa Darumini wa saudia.
Saudi hutizama mwezi kwa Telescope.... hivo lazima wao kila mara kunakuwa na hitilafu..
leo ni 30 ramadhan
 
Kuna nchi leo kwa ni siku ya 29 Ramadhani, pia wapo majirani wa Saudi leo kwao sio Idd, Kenya sio Idd na Zanzibar sio Idd, kwanini ulazimishe Tanzania bara ? Mfanano upi ukiwa hata majirani wa Saudia hawako naye ? natoka hapa
 
Kwa mujibu wa Uislam Majaliwa hana hadhi ya kuwa mgeni rasmi,yule mama aliyemuoa anamuondolea Uislam,simuhukumu lakini ndio ukweli
Uislam upi unao ujua wewe ! Ipo aya inayoruhusu Waislam kuoa wasiokuwa Waislam (sharti tu, awe muungwana na mwenye tabia njema) ila hairuhusi Wanawake wa Kiislam kuolewa na wasiokuwa Waislam.

Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
 
watu twala eid saiz ,to hell with bakwata.
Mufti wako ni mkeo ?
Ninachofahamu uislam unapaswa kufuata ufanano wa waislam wote duniani.
Ndio maana hakuna editing ya Quran popote duniani.
Sasa ikiwa mnaoenda kuhiji kwao wametangaza kuuona ninyi mnaweza kubisha kwa point gani au hamuwaamini hata mnaoenda kwao kuhiji?

Hapa hatuangalii kwamba tungeuona East Africa basi wao wangekataa kukubali kwani kuabudu nako kuna mashindano?
Suala ni kwamba duniani mwezi umeandama na kwa nature ya mazingira yetu(milima, hali ya hewa inawezekana mwezi tusiuone lakini waislam wengine duniani wameuona), kwenye dini kumeingia siasa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom