JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,458
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam.
Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni ikifuatiwa na Baraza la Eid baada ya Swala.
Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI, Kinondoni ikifuatiwa na Baraza la Eid baada ya Swala.