Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,685
Sheikh mkuu wa mkoa wa Dsm leo amezungumza na waandishi wa habari na kukemea kitendo cha Paul Makonda kutumika na kuwahusisha viongozi wa kiislamu na harakati za Lowassa kwenda Ikulu
Sheikh mkuu amesema wao kama Waislamu hawawezi kuchaguliwa marafiki,wala mtu wa kushiirikiana nae ktk misaada ya kuujenga uislamu na taasisi zake.Amemuonya Makonda kuacha kutumika na kuharibu sifa za viongozzi wa kidini.
Sheikh mkuu ameendelea kusema kuwa Makonda hana amri wala dhamana ya kuwachagulia BAKWATA na Waislamu mtu wa kuwa nae,amesema Makonda aseme ni lini na wapi viongozi wa dini walitumika kwa uislamu wao kupiga kampeni.za Lowassa kwenda Ikulu
My Take
Mzee mamvi jamani anatisha sana,kasi yake ni ya hatari...kakaba kila kona