Hapa duniani hakuna kitu cha muhimu kama Muda -Time
Muda ndio unatoa majibu ya kila kitu na muda ndio una solve matatizo.
Leo hii muda umetujibu yale Mambo ambayo waislam wengi akiwemo Mzee wangu Mohammed Said kuhusu uhusiano, hila na dhana nzima ya Serikali ya CCM kuua EAMWS na kuanzisha BAKWATA.
Hii ni similar doctrine wanayotumia US kui control Saudi Arabia.
Je waIslam hawana huwezo wa kujenga hiyo office ya 5bil?
Je Serikali ilishamaliza kuwajengea hao BAKWATA, Pia itaenda kuwajengea KKKT, Pentecostal Churches, RC, Wasabato... etc.
Asante sana Mzee wangu Mohammed Said. With time... kila kitu Kitapata jibu.
Ili kupata kura za waislamu aliyekuwa rais wa tanzania Bejamin Mkapa kama alivyofanya kwenye uporaji wa mgodi wa kiwira, alipora chuo cha tanesco morogoro na kuwapa waislamu.Huu haukuwa uamuzi sahihi hata kidogo. leo tunaambiwa mkuu wa mkoa wa dar ea salaam, Paul Makonda anataka kujenga ofisi za bakwata. hizo pesa atapata wapi au ndo kuwaita wafanyabiashara na hasa wahindi wachangie, zikiwemo pesa safi na chafu? Katika sherehe za Idd, mwaka huu Rais Magufuli kaahidi kurejesha mali za waislamu. Anazijua, zipo wapi? Serikali inataka kutuambia Waislamu wenyewe wameshindwa kuzirejesha? Umefika wakati wa kukemea hali hii mbona Tanzania inaanza kupenyeza siasa kwenye dini? Ushindi wa ccm tangu awamu ya pili ya kikwete na kuja kwa magufuli umeporomoka vibaya, jamaa wanaliona hili na ndiyo sababu mikutano ya siasa inapigwa marufuku. Kujiingiza kwetu waislamu, CCM inatafuta kura zetu na pia inataka kutunyamazisha.Si hii nchi haina dini kabisa?
Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?
Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?
Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....
Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?
Hiko kitu ni nini hasa?
Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?
Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?
Nani muathirika wa haya yoote?
Mfumo kristo unawajengea gorofa tena na mgalatiaKasome post namba 130, fata link iliyopo hapo.
TEC sio kibaraka ila ni boss wa sirkaliTaasisi zote, nasema taasisi zote za dini ni vibaraka wa serikali.
Mkuu umesomeka vizuri.Kuna kitu nadhani Wakristo wengi hawakijui. BAKWATA:
1) Sio chombo cha kila Muislam
2) BAKWATA, kama ilivyo KKKT au TEC, au chama cha waendesha baiskeli wa Shinyanga, is a non profit, non governmental organisation.
Kwa hiyo support ya Serikali kwa Waislamu wa Tanzania haiwezi kuwa inapitia exclusively through BAKWATA. Serikali inataka Waislamu waji organize under the BAKWATA umbrella, kitu ambacho Waislam wengi wanakipinga. Ukimwambia muumini wa kwa Kakobe au wa Mama Rwakatare apokee support ya serikali kupitia KKKT (Walutheri) au TEC ( Wakatoliki) atakwambia over my dead body! Sio kila Mkristo ni Mkatoliki!
Sheikh Mkuu wa BAKWATA, kwa mfano, hatakiwi kutangaza sikukuu ya Kitaifa ya kumaliza Ramadhani kwa sababu sio Waislam wote wana subscribe to BAKWATA na hana mamlaka hayo kisheria. Hapo ndio unazaa wa kina Sheikh Ponda na Sheikh Basalleh wa Msikiti wa Mtambani, Msikiti wa Idrissa... extremist clerics though they are lakini wana haki ya kusema, again, mbele ya msajili wa non-profits za Tanzania, BAKWATA haina uzito na haki za kisheria kuzidi Chama cha Waendesha Baiskeli wa Temeke!
Sasa kwa nini BAKWATA ipokee support ya serikali kwa niaba ya Waislamu wote?
Unajua maana ya mantiki? Kiswahili hujaelewa, usiponielewa na hapa inabidi niandike kikwenu.Wewe ndo jinga kabisa..Nimekufuatilia muda mrefu nikidhani labda utajirekebisha kwa kuwa kujua mantiki ya uliyem-quote,
Kumbe ndo zero brain..
Bora ukae kimya...Jinga kabisa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wao hawaendi Dodoma makao makuu????
Hiyo barabara itakuwa mali ya kanisa au mali ya watz wote?? Na vipi kuhusu hilo jengo la Bakwata unadhani litakuwa mali ya watz wote au ya waislam watiifu kwa bakwata.Serikali pia imeahidi kujenga barabara ya lami kuelekea kanisa la mzee wa upako.. Au nalo ni la ccm?
Watu mna Maneno sana[emoji1] [emoji1]tafuta katiba ya bakwata weka mezani kisha chukua na katiba ya tanu ziweke pamoja zisome utagundua zinafanana
Kiongozi hapa ndio mwisho wako wakufikiri?Mi nadhan tunapaswa tushukuru Tu. Maana kama hilo jengo lingekuwa linajengw kwa ajili ya kanisa au umoja wa makanisa si ingekuwa issue kubwa sana hapa duniani?
Tuwe na shukran wakat mwingne kila mtu atashangaa sisi wengine ni walalamishi kila jambo
siku hizi naona clouds ndo imekua ya taifa kila kiongozi anaitumia sijui kwannAkifanya hivyo nitamwona bonge la popompo, kwa nini asije humu humu jf ajibu au atoe ufafanuzi aeleweke? Kwa nini aende huko na siyo tbccm lao?
Ndio maana nimekuambia umem-quote kumbe hilujamuelewa....Ungerudia kusoma kwa makini ungegindua wala alikuwa hana upande wowote wa dini...Unajua maana ya mantiki? Kiswahili hujaelewa, usiponielewa na hapa inabidi niandike kikwenu.
The guy I quoted is a bigoted person.
What he was insinuating on his post of which your brain seems not to be able to grasp, is his religious intolerance towards non-islamic members.
Derogating other religions not because of any harm they are doing to you, but simply because they are different, is preposterous and unacceptable. PERIOD.
Nimecheka sana ulichoandika...Ila waislam wanaokataa hiyo Hali wapo sema wanatupwa JELA kama Sheikh PONDA katabishwa mwisho wa siku katulia....sidhani kama ni vyema kuwalaumuHuyo Makonda alikuwa anaongea na mbuzi?? punda au binadamu wanaojiita waislamu?
hakuna unafiki mbaya na mkuu kama nyie ndani ya waislamu hamna akili, utashi , ni kama mazezeta ya Yanga au Simba,
ni kama mtu anakuvua chupi unakaa kimya na kusema unaona, nilisema tu utanivua chupi!!!!///seriously??
hao waislamu wenzenu ambao wanatumika na serikali, wamepokea misaada mbona wako kimya???
na nyie wenye roho safi na msio upande wa serikali mnasemaje?? mbona mko kimya mnabakia kwenye JF
Yaani kwa akili zako unaona kabisa kabisa kabisa kabisa ni tatizo la serikali hili??? kabisa yaani???
Si hii nchi haina dini kabisa?
Na vyombo vya dini vinatakiwa kuwa huru kabisa?
Sasa Rais anakwenda kwenye baraza la Iddi anatoa briefcase yenye pesa taslimu...why? kuna nini?
Sasa mkuu wa mkoa anakuja na mradi wa kujenga makao makuu ya BAKWATA.Mradi wa bilioni 5.....
Je, haya yote yanafanyika kwa mapenzi mema au kuna kitu?
Hiko kitu ni nini hasa?
Serikali inajaribu ku achieve nini kwa 'kuisaidia huku' BAKWATA?
Uhuru wa BAKWATA kuikosoa na kuikemea serikali kama zilivyo taasisi zingine za dini ndo 'umeshakwenda'?
Nani muathirika wa haya yoote?