BAKWATA ni taasisi ya Serikali?

Relax tuu hata JK kuna makanisa na Taasis kibao kazipa Fund sana
Tanzania banna...tatizo sio fund.....hiyo tasisi ni tasisi muhimu sana inatakiwa iwe huru! Zaidi ya teuzi za rais 75% zimeegemea upande wake unafikiri BAKWATA wanaweza tia neno? Kesho rais akijenga makanisa na kutoa kipaumbele kwa upande wake bakwata watatoa neno wakati wamepewa office?
 
Maswali muhimu;
1. Makonda anajenga kama muumini, mfadhili au mkuu wa mkoa?
2. Waislamu wanaweza kujenga wenyewe?
 
BAKWATA NI TAWI LA CCM KAMA ILIVYO POLISI AU RADIO UHURU TU
 
BAKWATA kipindupindu kukosa elimu dunia, unafik na njaa vitawafikisha pabaya jengen uchum wenu bila serikal bakul la serikal mnawaweka shimon waumin wenu hasa kizaz kijacho
 
Jengo la 5 billion sio kweli Kiki hyo anatafuta Makonda aache uongo
 
tafuta katiba ya bakwata weka mezani kisha chukua na katiba ya tanu ziweke pamoja zisome utagundua zinafanana
 
tafuta katiba ya bakwata weka mezani kisha chukua na katiba ya tanu ziweke pamoja zisome utagundua zinafanana
 
Unaielewa vizuri mahakama ya Kadhi? Unaijua tofauti ya mahakama ya Kadhi na BAKWATA?
Amani,
Mahakama ya Kadhi ilikuwapo toka nyakati za ukoloni.

Zilikuja kufungwa mwaka wa 1963 na serikali huru ya
Tanganyika.

BAKWATA ilianzishwa na serikali baada ya ''mgogoro''
wa EAMWS wa mwaka 1968.

Unaweza kuupata mkasa wote hapo chini:
Mohamed Said: BAKWATA SEHEMU YA KWANZA

Hizo ni series unaweza ukajifunza mengi...
 
Maswali muhimu;
1. Makonda anajenga kama muumini, mfadhili au mkuu wa mkoa?
2. Waislamu wanaweza kujenga wenyewe?
Waislam wanajengaje wenyewe wakati siyo chombo chao?hiyo ni jumuia ya CHAMA CHA MAPINDUZI,mbona UVCCM,UWT,TAPA na JUWATA zote zinajengwa na CCM?
Hata hivyo kama ni fedha za serikali basi wamekosea sana kwakuwa hicho ni chombo cha CHAMA.
 
Binafsi ndio naelewa kwanini waislam wengi wanailaumu Bakwata kuwa ni Kisemeo cha CCM
 
Hiyo bajeti ilipitishwa wapi na bunge lipi, no wonder tunataka kujenga airport Chato wakati Huduma za kijamii zimekwama, hadi wanafunzi wa field mnawakopa?? this is shame
 
Mkuu kinachofanyika hapo ni SIASA...Serikali inajitangulizia Moira...kwaajili yakurubuni Waislam...kwenye Chaguzi uzuri Waislam waliowengi wanaojitambua...hawaungi mkono hiyo Tawi ya cccm
 
Hata kama nikweli hii ndio Kipaumbele kwa Mkuu wa MKOA? kama alikuwa na uwezo wakupata maPESA yakujenga Ofisi kwanini walikuwa wanasumbua watu kununua Madawati...vipi .kuhusu Vitabu mashuleni....Wenye akili tunajua hii inaitwa NAKUKUNA MGUUNI nami UNIKUNE KWENYE MIKONO...wajinga hawataelewa kilichofanyika...Sikiliza Bakwata watakavyokuwa wakali kutetea Watawala!
 
kwani hujuwi kama BAkwata ni taasisi ya Serikali ya CCM kwa ajili ya kuwadhibiti waislamu
 
Wewe ndo jinga kabisa..Nimekufuatilia muda mrefu nikidhani labda utajirekebisha kwa kuwa kujua mantiki ya uliyem-quote,
Kumbe ndo zero brain..

Bora ukae kimya...Jinga kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…