BAKWATA na Mauaji Arusha


Hapo kwenye RED ndo pamenigusa! Shule mkuu ndo tatizo lao!
 

what about Malaysia?

Do you think your views build a national solidarity?

Religion is a very sensitive issue. Tuwe makini.
 
naomba niseme tu kwa ufupi wewe mtoa Mada ni mpumbavu na umetumwa na CCM kugawa watanzania!!huna akili hata kidogo na ninadhani baba yako ni mmoja kati ya wale waliorushia wananchi risasi!!mimi naongea kama muislamu halisi na hata leo tumefanya ibada ya kuwaombea marehemu,na pia ukumbuke harakati ni za watz wote na ndio maanamtu wa kwanza kurushiwa risasi na kuuwawa ni Ismail ambae ni mwanaharakati wa Chadema na muislam!!
tunakuomba utuondolee hija zako za udini hapa tena ukome na uwaambie CCM wenzio mapambano bado yanaendelea!!pumbavu mkubwa na ipo siku tutapigana hata kwa mawe hata kama wao wana silaha zao za moto!!na ukamwambie babko sijui mjombako pumbavu sana wee!!
 

Mkuu Fundi Mchundo Extemist ndani waislamu sikubaliani nao kama walivyo extremist walioko katika ukristo. Anything that is extreme is harmful ndio maana katika statistics kuna kitu kinaitwa outlier kinaweza kuharibu kila kitu ndio maana watafiti wanakijaribu kukicontain au ikishindikana kukiondoa. Lakini kaa ukijua sometimes hata mwendawazimu anakuwa anasema jambo la msingi ambalo mimi na wewe tunaweza tusilione. Hebu tizama mtiririko huu:-
a. 4th January, 1998 President Mkapa anachimba mkwala kuhusu mihadhara ya dini yenye kuleta mifarakano.
b. 8th February, 1998 Padri Lwambano anaituma serikali iwashughulikie wanaoleta mihadhara ya uchochezi na mengineyo kwa ufupi waislamu.
c. 13th February, 1998 wanatandikwa waislamu pale mwembechai na kuuwawa.

Je nikuulize does it need a nuclear scientist to know what is going on here? Pia kumbuka rais aliyeko madarakani ni muumini mzuri Kanisa la St. Peters pale Msasani (karibu na ofisi za usalama). Sasa Fundi mchundo twende turudi kuna kitu kimekosekana hapa kabla hatujawaita jamaa extremists. Pia kaa ukijua kuwa Mkapa hakuwashauri waislamu kuhusu hili jambo je nikuulize alikuwa sahihi? Tatu Padri Lwambano ni padri wa kanisa gani na je lile tamko alilitoa kama nani? Kwanini asiende kutamka mimi Camillius Lwambano nasema hivi atumie title yake ya upadri? Naomba unijibu mkuu
 
what about Malaysia?

Do you think your views build a national solidarity?

Religion is a very sensitive issue. Tuwe makini.
Mimi ni muislam, nasema ukweli tatizo letu waislamu, ni udini utatumaliza na tunataka nchi yetu iwe ya kiislamu, nasema haitawezekana. Waislamu tumekuwa walalamishi kwa kila jambo, hatutaki kufanya vitu vya maendeleo, tumekalia mahakama ya kadhi!! utakula mahakama ya kadhi? tutakula madrasa? Tuache ujinga twende shule.
 

Mkuu hii mada imekaa kichochezi na nisingependelea kukuunga mkono ningelishauri uifute maana haina haja ya kushindanisha linajulikana kwa mwenye kufahamu. Tuwe makini na sensitive issues waungwana kama misumari tupigiliane kwenye wale waliotoa tamko kama wako sahihi au la.
 

Generalization si nzuri mkuu kuna waislamu wamesoma kuliko nyie msio waislamu.
 

Again
 

Geza Ulole, its rather daft to somehow compare a social group with a religion. Christianity is a social group whereby islam is a religion. Thats why laws can be changed/amended in christianity and not in islam. Christianity has one supreme leader, "the pope" if you are catholic, or Elizabeth queen of England if you are Anglican, and so....; whereby in muslims do not have a living human figure head for eveery muslim on planet. In christianity, power and authority are centralised, Vatican if you are catholic, or buckingham palace if you are Anglican. In Islam, power and authority are decentralised and every community have their own leadership. In short, the sheikh of mecca is only for mecca and he is not superior to sheikh of moldova or paraguay. I have hibernian background and studied christianity at depth, and believe me, when I decided to study other faiths, judaism, islam, budhism, etc; I was confounded by the *** which I was taught as a christian child. Learn about other faiths and you don't have to follow them. That will give you a little bit of respect of others.
 
ujumbe umefika
 

Good constructive argument Nancy
 
kinachonishangaza sana mimi ni pale viongozi wa dini wanapokemea maovu wanaonekana wanaudini hasa kinapofanya chama cha CCM. Lakini kinaposifia kama waliposema Kikwete ni chaguo la mungu hawasemi kuwa wana udini.

Jamani BAKWATA wameonyesha mapungufu.

Yale mauaji ya Arusha hayakusitahili kuisifia CCM kabisa kwa maana serikali iliyofanya mauaji ni ya CCM.
 

Mimi hapa penye Bluu ndipo pameniacha hoi
 
what about Malaysia?

Do you think your views build a national solidarity?

Religion is a very sensitive issue. Tuwe makini.

The way i see your comment mkuu naogopa na nisamehe. it sounds like pia unawaza sana mambo haya na ni mmoja wa wanaowaza udini b4 taifa. tukumbuke dini zilifikaje hapa. ni bora kujivunia kina mwana malundi wetu na wengine wengi japo hatukuwatangaza kama wenzetu walivyofanya. tusigombanie hayo. na sipendi pia ubinafsi. kadhi haitakuwa jambo jema kwa watu wamoja na wanaotaka kuendelea kuwa wamoja lakini wana imani tofauti. mahakama za kijamii zinatosha. ila kama ni lazima ianzishwe na dini husika yenyewe. hata huo upande wa pilh wana mambo ambayo huyasuluhisha wenyewe.
 
Wakiristo watanzania, msijidanganye kabisa na kujifanya kwamba eti ni nyinyi ni "European outpost in Africa". Maendeleo ya uzungu siyo maendeleo ya ukiristo, ingawa mpo wengi sana humu ambao mnajitoa akili kwa makusudi na kusherehekea mafanikio ya wazungu "in the name of jesus", na kujifanya kama vile nyinyi ni sehemu ya "white establishment". Nasikitika sana kama mifumo ya kielimu ndiyo inayowafanya muwe hivyo.
 
Wanazidi kujichanganya kwani wao sio viongozi wa dini!
 
craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap, nenda kwenye mada
 

Ahsante kwa kutuletea udini JK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…